Nahisi nimebambikiziwa mimba

Nasikitika wanaume wenzangu hasa wa mikoani kuwa dhaifu na wanawake, maisha yako ukishaanza kufanya decision hata kwa hivi vidogo je vikubwa utaviweza?? Unashindwa kusema mimi na wewe basi, sitaki maelezo.

Wenzetu uwanaume wenu upo wapi???
 
Huyo mtoto siyo wako, huyo ni mhuni tu. Anakubambikizia mimba, we achana naye tena asikuzoee pita hivi. Hakuna haja ya kuimba naye sana, hata yeye anafahamu ndiyo maana mda wote huo wa miezi mitano hakuwahi hata kukutafuta kwenye simu, mbona picha iko wazi hapo haihitaji maelezo. Maisha yamemshinda kwa uhuni wake, sasa anakudondoshea zigo, ikatae kwa msimamo mmoja.
 
Kakuambia mimba ina muda gani?
 
Nenda nae hospital apime mimba ina muda muda gani kwanza
 
Ukipa DNA lazima utaambiwa mtoto wa kwako! yaani hiyo kwa bongo sio suluhu
 
Shida ya vijana wa Mjini wanadhani Msichana akitoka kijijini ni mtulivu na tabia njema.

Huku mikoani mademu wameoza. Bora hao hao wamjini angalau wanaoga vizuri.
 
Penzi la haraka bila kujuana tabia each other , huzaa majuto ya muda mrefu kwa kukosa busara.

Si ulikuwa unaona raha, na kukugumia utamu ulivyo kuwa unafinyiwa kwa ndani, dadeqi 😎
Na hapo angeweza kupigwa hata Ngoma......hizi mambo zipo sana vijana tulizeni vikojoleo mtajuta
 
WAKATI unaingiza ukutuambia
 
Ushauri wa bure kwa wanaume wote especially ambao hawajaoa, Na hata walio oa sio mbaya.

Kama unampenzi.
1 - Hakikisha unajua mzunguko wa mwenza wako A - Z.
Zamani lilikua swala lao peke yao lakini kadri siku zinavyoenda, Wanawake wengi wamekua wahuni na sio waaminifu.
Mbane mpaka atoe ushirikiano, Hakikisha unajua kila kitu na akichelewa pia.
Uwe na sababu za kwakini kachelewa nk.
2 - Hakikisha una rekodi au unajua siku unazokutana nae kimwili.

Kama hauna mpenzi na haupo tayari ku comit kwa yeyote.
1 - Hakikisha hauachi kutumia kinga, Kama hautaki na haupati utamu basi kuwa tayari kwa lolote, Iwe ugonjwa ama mimba ambayo inaweza isiwe yako.

Mwisho kabisa. "KUSIKIA KWA KENGE, MPAKA ATOKWE NA DAMU MASIKIONI."
 
2. Nahisi ulikuwa mtego ili nimu oe sina mawasiliano naye kwa kipindi chote hiki wala hisia naye, na wala sijawahi kupanga nimu oe je nitumie mbinu gani ya busara ambayo itanifanya niwe mbali nae....
Hujawahi kumtomba una uhakika huna hisia nae hata akikuvulia akakupanulia bakuli lake kule chini uchote mboga na huo mwiko wako ulioutumia kukomba mboga nyege zilipokubana miezi 6 iliyopita?
 
Subiri mtoto azaliwe upime DNA. Japo sasa hivi unaweza pima ultra sound ukajua umri wa mimba the linganisha na mara ya mwisho we kukulana nae ili mambo yasiwe mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…