Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,516
- 3,821
Wakuu habari zenu, nilikuwa naomba ushauri wenu katika pitapita zangu za kupambana na maisha nikapata mda kidogo wa kukaa nyumbani mkoani.
Baada ya kufika kuna kama stationary ipo jilani nikamuomba mwenye stationary nijishikize apo akasema hakuna shida, ni mtu ninaye muheshimu, .....
Baada ya mda nikakuta kaleta ndugu yake wa kike toka kijijini anasemaje amekuja kujifunza mjini na ame ni direct kwangu nimfundishe kazi za stationary....
Katika harakati za ujana kosa lilianza apa, nikaona kama anafaa kuwa mchumba ata wa badae nikaanzisha uhusiano naye.....
Baada ya mda kupita kama miezi miwili nikaanza kujua tabia zake halisi kama uhuni nilifuma mawasiliano ya simu na wanaume wengine, pia mtaa apa kuna tetesi kuwa anatembea na vijana nikaona hii ni red flag nikamwambia tuachane nitamuuliza una mimba akasema hakuna una ugonjwa wowote hapana nikampa ushauri mjini kuwa makini kuna magonjwa na siku akipata mimba nje ya ndoa hao vijana hatoweza kuja kuwaona.......
Baada ya kuachana nae takribani miezi mitano anakuja home kwa wazazi anadai ni mjamzito.....
Nilichoamua kusema ni kwamba tusubiri mtoto tupime DNA maana sijui kipindi chote icho alikutana na kina nani?
Baada ya apo familia yao wanataka tukaandikishe kwa balozi endapo ni wangu niwe responsibility
Changamoto nahitaji msaada wa mawazo apa.
1. Mwanamke anaweza kukaa na mimba yako kwa miezi 5 bila kukwambia ( hasa dada zangu naomba jibu)
2. Nahisi ulikuwa mtego ili nimu oe sina mawasiliano naye kwa kipindi chote hiki wala hisia naye, na wala sijawahi kupanga nimu oe je nitumie mbinu gani ya busara ambayo itanifanya niwe mbali nae....
3. Je kwa mazingira haya ungekuwa wewe ungefanyaje na kisheria ipoje kwa mbeleni maana hili swala limenichanganya..
4. Swala la kwenda kusign kwa balozi kuwa kama ikitokea mimba ni yangu nilipie fidia zote ilo limekaaje sio mtego ndio naji commit moja kwa moja...
Asante nategemea mawazo na ushauri wako.....