Nahisi nimebaki mwenyewe sasa msaada

Nahisi nimebaki mwenyewe sasa msaada

Wanawake kwa tafiti za watafiti wako wengi kuliko wanaume,inakuwaje ukose hata mmoja? wakati wenzio wanao kuanzia 2!!!! toa pesa babaaaa na utafanikiwa sio maneno tu
 
Itakua unawafata wenye asili ya Kichagga maana hawataki mtu asie na muelekeo.
 
Hahahahaha sasa wangoja nn? umechelewa kweli yaonekana wew ni mbanifu wa pesa shauri yako!!
 
wakazie wewe hao wanyama wetu ndo walivyo chukua mfano ushawahi muona Jogoo anavyomkimbiza koo........huku na kule ila siku ya siku anamkuta amechutama mbele anasubiria dushelele !!usitongoze kama unafanya application ya fedha kwa mzazi wakazie
 
Ijumaa qareem

leo wana mmu nahisi ninaproblem nimemaliza form 4 mwaka jana na niko na mambo yangu sasa nahitaji niwe na mpenzi yaani demu nimejitahidi kwa kila njia lakini kila demu ninae mtongoza anasema anamtu wake kila mmoja ana mtu sasa cjui nifanye nn sababu ni mpweke nitumie njia gn nifanikiwe wadau

Demu??QN umeacha kunyinya tayari na una hela?????
 
Aisee nikiwa na umri huo walinikoma,nilitembea mpaka na sista wa parokia,acha hizo bhana piga sound mpaka unajifanya unalia unataka kujiua
 
Utavunjika kiuno mtoto mdogo sana..em wahi darasani fastaa
 
Back
Top Bottom