iiiisitaki wa kunipendea hela
Afu heri lee mbona ushakuja hapa na story za chuo mara una dem mwanachuo kumbe mbwembwe
Ijumaa qareem
leo wana mmu nahisi ninaproblem nimemaliza form 4 mwaka jana na niko na mambo yangu sasa nahitaji niwe na mpenzi yaani demu nimejitahidi kwa kila njia lakini kila demu ninae mtongoza anasema anamtu wake.
Kila mmoja ana mtu sasa sijui nifanye nini sababu ni mpweke nitumie njia gani nifanikiwe wadau.
Si umesema umemaliza form 4 mwaka jana ha ha ha product ya mulugo unajichanganya hadi basi, ndo maana hupati dem.mwaka kpindi nko 1 yr yule dem nshampiga chini nakuta ww apo saivi
hahshah hebu tuweekee stori zake za nyuma umemkamataje
Si umesema umemaliza form 4 mwaka jana ha ha ha product ya mulugo unajichanganya hadi basi, ndo maana hupati dem.
leo wana mmu nahisi ninaproblem nimemaliza form 4 mwaka jana
.
mwaka kpindi nko 1 yr yule dem nshampiga chini nakuta ww apo saivi
my sweetest auntii, hujambo?