Nahisi nilimegewa

hivi wakuu,
mwanaume akimegewa mumewe

au mwanamke akimegewa mumewe........

WHICH IS THE LESSER EVIL?:mmph:
 
Mmmmh ni ngumu sana hasa kama shetani kishaingilia kati

....umeona eeh? it cuts both ways.
Majuzi kuna mdada wa UK kanilalamikia hana imani na Mumewe. Kisa, ...mumewe alikwenda Bongo kwa shughuli za kibiashara, halafu mama mtoto wake (ex-wife) anayeishi US naye alimjoin huko Dsm ili mtoto amuone baba'ke.

Mume anajitetea kwakuwa walifikia kwa mama yake (mume), hakuna lililotokea baina yao kwa wiki zote mbili walizokaa pamoja.
 
Kwisha habari yako.............. huyo bilashaka alimegwa kukumbushia penzi lao la zamani..... kama uliwahi kummgega demu kipindi cha nyumba na ukaja kupata bahati ya kukutana nae na akafika kwenye makazi yako 99% ukiomba tunda unapewa bila wasi wasi.....
 

Mbu...shughuli nzito ilifanyika hapa ni vigumu mno kuwa katika mazingira kama haya na mechi kuacha kuchezwa.
 

hehehe bora angelilala chumbani kungekuwa salama kuliko sebuleni , hizi sebule hizi hehehe zinanikumbushaga mbali kweli aisee.
 
mimi hii habari ya kukaa nyumba moja na Ex wako mtu siielewi.....................na sitaweza kuielewa maishani.

hata kama hamjafanya kitu ni sawa na kumwita shetani karibu..................shetani mnaweza kumshinda na anaweza akawashinda nyie. na shetani alivyomjuzi, kuwashinda nyie ni rahisi zaidi
 
Black leather sio hahahahah nimeipenda sana hii............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…