kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Upo savannah ya ngapi..?Habari za wakati huu ndugu zangu poleni na mfungo wa Ramadhani ndugu zangu waislamu na wakristo poleni na mfungo wa Kwaresma.
Kama kawaida yetu hapa jukwaani ni kushea mawili matatu uliyonayo kama kuna ushauri upatiwe au kujufunza watu wajifunze.
Sasa ndugu zangu mimi kipindi nipo single nilikuwa nikiona wapenzi wanaonekana kupendana hivi mbele yangu basi nachukia mno na kukasirika. Sijui shida ni nini hapo ilikuwa.
Lakini namshukuru Mungu kwa sasa I'm in Love, hiyo hali imetoweka kabisa, kama unapata mtu anakupenda mjali mthamini maana wenye upendo wa dhati wamebaki wachache mno.
Muwe na mfungo mwemaππ
Sikutegemea ipo siku leejay atasema kudinyaπππmake sure hamdinyani hadi mfungo uishe kama hajakuoa
hahah ,.Sikutegemea ipo siku leejay atasema kudinyaπππ
Usinipe pole mimi sijafunga mkuu nipo hapa nakula nikikusomaHabari za wakati huu ndugu zangu poleni na mfungo wa Ramadhani ndugu zangu waislamu na wakristo poleni na mfungo wa Kwaresma.
Hahah au sio alikuwa hajakuruzwa sasa amekwaruzwa anajisikia rahaLibido tu ilikua inakusumbuaπ€
Huyu nadhan anakunywaga Serengeti Lite.Upo savannah ya ngapi..?
Hongera yako mkuuUsinipe pole mimi sijafunga mkuu nipo hapa nakula nikikusoma
Aisee wanaboa sana etiπππKwanza mnapendanaje kwenye bandle langu ! Mnatukwaza π
Huo ulishaisha ππππNasubir Uzi nimekutana na ex viporo tukapasha nitag kidogo πΉπΉπΉππΎ
Tangazo lipi mkuu?Lipia tangazo
Sinywi mkuuUpo savannah ya ngapi..?
Tutajitahidi mkuumake sure hamdinyani hadi mfungo uishe kama hajakuoa