Nahisi nataka kuibiwa/kutapeliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahisi nataka kuibiwa/kutapeliwa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by vanmedy, Feb 16, 2012.

 1. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Waungwana.. Usiku huu wa saa2 nimepigiwa simu na mkaka/mbaba akiwa na mwanamke(walikuwa wakipokezana kuongea) wananiambia jana walikuwa meeda club sinza usiku sasa huyo mwanaume alikukutana na mdada gani sijui eti alimpa namba yangu na waliniona kwa sura (wakan'describe eti mimi ni mweusi wakati. Kiuhalisia ni mweupe Kabisa na namba yangu ya simu ni zile special * ni rahisi kuotea ) na kwamba kwa pamoja mimi na huyo mdada waliwaibia pesa ikiwamo driving licence, na atm cards.. Eti wakawa wananikoromea niwarudishie cards na leseni hela hawana shida nazo..
  _UTATA: mimi niko mkoani kazini na sijawahi kwenda club kabisa hapo meeda kwenyewe sipajui na mimi sio mdau wa hizo sehemu/ sio mpiga kiilaji na sijawahi kunywa..
  Nimewaambia kesho nakuja dar kwenye michakato wangu na ntaenda na full documents kuthibitisha namba ni yangu,nafanya kazi mkoani, nlikuwa mkoani wakati wanaibiwa, na ntaenda na ticket ya gari ya kesho..
  Nlipata shaka nlivyowaambia wakaripoti polisi wakakataa, eti wao hawana mambo hayo..
  NINACHOFIKIRIA: kama wameibiwa kweli. Tukutane polisi kwa ushahidi na kutoa utata.(NAHOFIA WANAWEZA KUNIFANYA KITU MBAYA) Yani wameniharibia siku kabisa
  Lakini bro wangu kanshauri niwapotezee kama waliniona wanitafute...
  NAOMBENI USHAURI WENU JAMANI
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We kweli wa Singida!!!
  Pole..hayo ni mambo ya mujini. Huna cha kuhofia, wewe tulia singida, endelea na majukumu yako!
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Pole kaka, we wapotezee usijisumbue.
   
 4. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hehehe njaa nyingi,pole sana
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hehehe! Wasingida watakuwa hawajachangamka changamka eeh!
   
 6. tama

  tama JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 604
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wapotezee hao..
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hivi wa mpwapwa wamechangamka? Huku umang'atini tumekucha ile mbaya, mashuka ya njano kwa kwenda mberrrre!
   
 8. v

  valid statement JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Wala usihangaike nao hao.Watakutapeli hao. We endelea na mambo yako.
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  wa mpwapwa tuko juu, tuna maphd ya ujanja! Huoni ur son katoka huko kote kaja kuangusha figo lake mpwapwa.
   
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Huitaji kuumiza kichwa kulitambua hili Husninyo..
  Maelezo yake yanajitosheleza!!
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  inabidi watu waje mjini aisee, mjini shule ati.
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Wallah sikuwezi! Yaani leo nimemuona my son kwa mbaali umeanza kujifaragua! Ntamuambia yote acha nisutwe tu!
  Phd hata mie nimeshaagizia 4 kwa mpigo, subiri utaona!
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  phd 4 hadi utaanza kutembelea mkongoja hazijafika. Nimeagiza vyuo vyote viache kutoa hiyo kitu. Mwanao ninavyompenda hadi nahisi kuchizika mkwe. Umemuona wapi nimfate?
   
 14. Beautiful Lady

  Beautiful Lady Senior Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Matapeli hao,wapotezee kabisa.
   
 15. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ndugu yangu achana nao hao ni matapeli na hawakujui wala nn,yan tena hata cm zao ucpokee tena endelea na ishu zako tu.
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  matapeli hao wala usijishughulishe nao.
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  acha woga
  puuza tu
  waambie waende polisi na wewe utaenda polisi
   
 18. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  What an idiot!!!
  Ndio tabu ya kufikiri kwa kutumia masaburi.. For your information mi dar nimekuja uchi wa mnyama pale muhimbili hosp na asili yangu ni dar / mzaramo wa kisarawe pure.. Nimekulia dar nimesoma k/koo center kabisa.. Huku singida nimekuja kusaka tonge tuu..
  Kuna watu mnakujaga kuongea nonsense tu humu.. Wangapi wanaibiwa daily?? Au umekwazika nlivyosema situmii kilevi na wala si mtu wa club.. Ndio tabu ya wavaa suruali chini ya makalio na masupra ya kichina hadi ugokoni... GROW UP
   
 19. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #19
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hawa jamaa nimewapigia simu wanaonekana kujichanganya especially mwanaume, mara oooh mmeniangusha mkaniibia pesa nyingi kwenye wallet, mara atm ina kama mil2 na kulikuwa na kikaratasi cha password, nlikimbia kwa bajaj (sijui nimekuwa dulla kibajaj wa clouds),
  And i told them mkienda kurenew atm zenu lazma mpeleka rb ya polisi sasa shida iko wapi tukutane polisi tukasababishe(hapa nlikuwa nshapata akili ya kuwageuzia mashtaka ya kunidhalilisha na kuntishia maisha)na nlishawarekodi maneno yao.
  Mwizi akupe namba yake ya simu wapi na wapi!!???.. Baadae yule demu akabeep and she was like ''tafadhali kaka tuelewe hali yetu sie tumeibiwa and i was like ahahahah mnaomba poo''
  Ila to be honest mwanzo walinistua kinoma
   
 20. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Tanx for ur concern guys,, decent people n' kindhearted.. Ahsanten kwa ushauri wenu working on it..@husninyo,kabakabana,tama,valid statement,beutiful lady, cantalisia, badili tabia and the boss..
  Except rejao u suck go fuc* urself, nyegere wee
   
Loading...