hofu yako ndio kifo chako bwana mdogo!
inaonekana hata ukimkuta amesimama na kidume yeyote, utaamini moja kwa moja kuwa ndio mchawi wako!
chunguza pole pole, kuwa CID si mchezo!
nimekua na mahusiano na mpenz wangu kwa muda sasa (takribani miez 5 sasa),,mwanzon tumekua tukiwasiliana kwa karibu sana na kunifanya nijiskie amani na kusahau kuhus wasichana wengne,,,,kifup amenifanya niwe mwaminifu sana,,
cha ajabu ni ck za apa karbun ambapo gafla amepunguza mawasiliano kwa madai shule imebana,,,namtumia txt anachelewa kujib,,,sitak kuamin kua mpenz wangu huyu anani-cheat ila naamin kwel mambo yamebana,,
nilichopanga kukifanya ni kwenda kumsalimia kwa suprise,,kwamba simwambii kua naenda mkoa aliko ila atashtukia kuniona thn ntapata nafas ya kuikagua cm yake for good il nijue moja maana ata raha nae tena sina mekua mpweke mnoo,,
wana mmu plz naombeni mnishauri,,,niko sawa kwa uamuzi wangu huo!!
ndo nataka nikagundue ilo il nimuache amegwe kwa uhuru kabisaa,,coz naamin naweza kua na msichana yeyote apa mjin,,ts a matter of tym mkumkuu, shtuka! kuna mtu atakuwa anakumegea totoz--hizo dalili anazoonyesha sio nzuri hata kidogo.
ofcoz wengi wa wananchuo sio waaminifu,,,lakin sio kwamba wote si waaminifu,,,,vyote vinawezekana wether kweli kabanwa au ndo ivo anagegedwa njehuna haja ya suprise,kwani akili yako haitoshi kupima mapenzi yake kwako mpaka uje unalia hapa,nani kakwambia watoto wa chuo ni wa kuoa,kimbia utaumiz weweeeee.
daah kwa upande mmoja wa sh inawezekana mkuu,,,pia haya mapenzi ukifanya mchezo unapoteza muda na fedha aisee,,,mkuu hunda ni kwel kabanwa hasa kwenye kipindi hiki kuelekea kwe mtihani wa mwisho test ni nyingi sana,kwa mfano kuna chuo kimoja hapa iringa test zimefuatana toka j3 hadi ijumaa so lazima awe bize ila usijali tupo wengi wahanga wa hilo mkuu
nimekua na mahusiano na mpenz wangu kwa muda sasa (takribani miez 5 sasa),,mwanzon tumekua tukiwasiliana kwa karibu sana na kunifanya nijiskie amani na kusahau kuhus wasichana wengne,,,,kifup amenifanya niwe mwaminifu sana,,
cha ajabu ni ck za apa karbun ambapo gafla amepunguza mawasiliano kwa madai shule imebana,,,namtumia txt anachelewa kujib,,,sitak kuamin kua mpenz wangu huyu anani-cheat ila naamin kwel mambo yamebana,,
nilichopanga kukifanya ni kwenda kumsalimia kwa suprise,,kwamba simwambii kua naenda mkoa aliko ila atashtukia kuniona thn ntapata nafas ya kuikagua cm yake for good il nijue moja maana ata raha nae tena sina mekua mpweke mnoo,,
wana mmu plz naombeni mnishauri,,,niko sawa kwa uamuzi wangu huo!!
ilo nalo neno mkuuDont B too concerned unafunga safari kwa ajili ya kuchunguza cm ukifuatilia sana utaumia sana fanya uendane na matakwa na mazingira yaliyopo na wewe uwe unamcheki muda ambao hana Issue ya kusingizia kiac ukishagundua haitakuuma sana
nimekua na mahusiano na mpenz wangu kwa muda sasa (takribani miez 5 sasa),,mwanzon tumekua tukiwasiliana kwa karibu sana na kunifanya nijiskie amani na kusahau kuhus wasichana wengne,,,,kifup amenifanya niwe mwaminifu sana,,
cha ajabu ni ck za apa karbun ambapo gafla amepunguza mawasiliano kwa madai shule imebana,,,namtumia txt anachelewa kujib,,,sitak kuamin kua mpenz wangu huyu anani-cheat ila naamin kwel mambo yamebana,,
nilichopanga kukifanya ni kwenda kumsalimia kwa suprise,,kwamba simwambii kua naenda mkoa aliko ila atashtukia kuniona thn ntapata nafas ya kuikagua cm yake for good il nijue moja maana ata raha nae tena sina mekua mpweke mnoo,,
wana mmu plz naombeni mnishauri,,,niko sawa kwa uamuzi wangu huo!!
ingawa siwez kuusemea moyo wake bt i prety sure kua she z nt of th type,,,,binafsi hua namuona anajieshimu,,,nakumbuka wkt bado nkiwa nasoma nlikua namuona na kufatilia kwa karb mwenendo wake,,,ni msichana anaejitambua kwa kwelHaya mapenzi ya kidigital kazi kweli kweli,utakuta watu mnanuniana mwaka mzima,kisa umechapiwa demu na unaweza hata kulaaani, utadhani umemuoa! Mwache bint wa watu awe nao watatu wanne ili akiachwa na mmoja asiwe insane!