Nahisi naibiwa-mrejesho

Mr Eggo

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
2,028
Reaction score
1,051
Niwasalam wana mmu,ni matumaini yangu kila moja ni mzima wa afya na anaendelea na majukumu yake ya kila siku,kwa ambao wana matatizo mungu awape ufumbuzi

Lengo la uzi huu ni kutaka kuleta mrejesho wa thread niliyoileta kwenu siku za nyuma kua nahisi naibiwa.

Kwenye ile thread nilieleza wasi wasi wangu juu ya mpenzi wangu na dhumuni langu lakumfanya suprise kuonana nae il nijue kinaga ubaga,na last wikend ndivyo ilivyokua;

Kupitia my causin anaeishi Dodoma nilipanga arrangement kua yeye (causin) ampigie shemeji yake na kuomba kuonana nae siku ya jumamosi usiku ambapo ilikua ndo muda ambao ningefika aliko mpenzi wangu,mambo yakaenda poa na kufikia sa 2 kasoro tayari nkawa nimefika.

Kwa kweli suprise ni nzuri lakini mine was too suprising,,,,kuniona kidogo azimie,tulienda nlipofkia(lorge) then nikaona kabla ya kuanza kusema kilichonileta nikaona vizuri tuonyeshe tumemisiana kivitendo then after that nikamueleza kua kimenileta kummis pia it was her phone na because sikumpa nafasi tena ya kushika simu yake I was so sure ningekuta kila kitu ingizingatiwa she did not expect me.

Alileta mgomo kuweka pattern lakini baadae alifanya hivyo na mimi kuingia ndani kujionea nilikuta conversation kati yake na mtu ambae alinieleza uko nyuma kua ni her supervisor and anamfundisha darasani the charting was so intimate kiasi kwamba I was frustrated.

Kwa bahati nzuri msure(lecture) akapiga simu nikapokea na kumpa ya moyoni kua he has to let the girl go since namjua na kama akiendelea taarifa zitamfikia mke wake pamoja na uongozi wa chuo(hop this wil help),yule bwana ni mtu na familia yake and he was taking advantage of being a lecture kwamba bi dada akizingua atamshika.

Vagi likaanzia apo na kwa kweli it was so painfully kwangu ingawa ni kwel aliniambia yule mwalimu anamtaka ila hakuniambia wanachat maneno mazuri hivo aliniomba msamaha sana kiasi kwamba alikua anagara gara chumba kizima claiming ananpenda and she is not ready kuniacha.

Mpaka asubuhi niliamua kumsamehe na kurudi mkoani kwangu.

Ila kwa kumpa angalizo kua next time tatizo kama hilo no forgiveness,niliona ni busara na yeye pia atajifunza kitu kutokana na incidence,,
Samahanini sana kwa maelezo marefe kwani hata mimi sipend kusoma thread ndefu ila nimelazimika kuwapa picha kamili.
 

Heheheh watu mnadanganywa kirahisi sana
Sijasoma.hzo msg but t doesn't make.sense hata kidogo eti "Mr lecturer " hajala mzigo
Wewe kama kumsamehe amua kummsamehe Ukijua kabisa kaliwa.mzigo Mara kadhaa na sio kwa kudanganywa eti anamtaka "anamtaka my foot"
Y don't u ace the reality?
Sikupingi kumsamehe ila nashangaa unavyolazimishwa kudanganywa bro
Use UA real eyes to realise those lies we jamaa duuu
 
Ulichokifanya ni sahihi. Nadhani hatarudia na pia jitahidi kuwa naye karibu umbali wenu yaweza kuwa sababu ya maharamia kuingia. Be serious to rescue your marriage. Thank u been strong
 
USIWEKE MTEGO WA KUMFUMANIA MKEO KAMA HUNA UWEZO WA KUMUACHA tchaoooooooooo kwa stori hiyo mimi wewe ndo nakuona unaonewa samahani lakini
 
yani wewe demu kakuona zoba zoba hapo ni mmoja kuna wengine pia... ila kkwa kuwa unaroho ya huruma hongera na pole kwa uchovu wa safari...

mkuu siku nyingine andika basi maneno yvizuri kuliko kutumia vifupi jamani loh!!1
 
yani wewe demu kakuona zoba zoba hapo ni mmoja kuna wengine pia... ila kkwa kuwa unaroho ya huruma hongera na pole kwa uchovu wa safari...

mkuu siku nyingine andika basi maneno yvizuri kuliko kutumia vifupi jamani loh!!1

hadi amkute mtu yuko juu kilimani anapanda ndo ataacha
 
ningeisoma hiyo ya mwanzo nazani ningekuw kwenye nafasi nzuri zaidi ya kutoa maoni ila hapa sielewi chochote
 


Kiasi ulichoniudhi natamani hata nikugongee ili akwambie tulikua tunachat tu huyo gwiji ananitaka kumbe nakula mzigo muda wowote na mm naitwa baby na baby wako!
Nitumie namba yake mwanangu nna hela ya jini hapa haina kazi
Mwache dem wako ale maisha kwanza huku akigawa mzigo taratiiibu kama yupo anakula mua Hawaii au copacabana
 
Mlamba asali halambi mara moja!
 
Yani wataprinti huu upuuzi afu wataonyeshana wakati wanatafuta cha 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…