Nahisi Mungu ni mbinafsi

Mmhh sijui umefikilia nini lakini acha yabaki kuwa mawazo yako tu
 
Mungu anakuona ujue kama ni mkristu ushatenda dhambi

Dr
 

Umejibu pasipo kutafakari zaidi kusudio langu. Cha kwanza utambue ya kwamba hata Kama unamtegemea yesu na akakusaidia kwa imani yako hiyo haimaanishi ya kwamba unachokiabudu ndicho sahihi na ndio maana nimekupa mfano wa mtu anayeabudu ng'ombe na akaomba kwa ng'ombe na akafanikiwa hitaji lake au mfano pia kwa waislamu wanaabudu Mungu tofauti na yesu na wanaomba na wakatimiziwa hitaji Lao hizo zote ni imani tu. Hizi dini wengi wamezirithi, wewe ungekuta wazazi wako kwenye dini tofauti na ya ukristo nawewe ungefuata dini walizonazo na ungejiona upo sahihi katika imani yako.

Halafu kuhusu kutoa hukumu ya kutisha, Mungu yupi huyo katili atoe hukumu kwa binadamu wakati asilimia kubwa ya matatizo ya binadamu ameyasababisha yeye mwenyewe? Kwanini amuumbe binadamu mwenye mapungufu halafu amwachie shetani awachezee viumbe vyake wakati anajua kuwa binadamu ni dhaifu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…