Nahisi Mungu ni mbinafsi

Mungu hayupo..fikiria namna nyingine ya kufanya mambo yako
 
kwanza hii Mada sidhani kama ilikuwa inakuhusu, maana nyie wayahudi hamumuabudu Mwenyezi Mungu bali mnamuabudu binadamu mwenzanu ambaye ni Yesu.
Bado unaendeleza uongo tu na kurukaruka, hebu tulia ufundishwe maana vitu unavyotaka kuvijadili unauelewa wake mdogo sana
 
Upendo wa Mungu ni unconditional hilo unapaswa uelewe. Mungu hatupendi kwasababu ya matendo mema au mabaya. Mabaya siku zote hayatoki kwa Mungu, chanzo cha mabaya ni dhambi. Mungu yupo kinyume na dhambi. Kumbuka mtu akiishi katika dhambi, shetani anakuwa na legal right juu ya maisha yake. Kumbuka shetani kazi take ni kuharibu na kuua.

Yoyote akimwendea Mungu, kamwe hawezi kumkataa. Mungu anapenda watu, lakini hapendi dhambi wanazotenda. Mungu sio mbinafsi, ndio maana akakupa freely ya kuishi unavyopenda. Hakulazimishi. Ni kweli pia lipo kusudi la Mungu, na pia Mungu hutumia mtu yoyote apendaye kufikisha kusudi lake. Hata were ukitaka mwombe, atakutumia
 
Mungu Hana ubinfsi na Hana upendeleo hivyo vyote ulivyo sema kwenye Quran hakuna

Sent using Jamii Forums mobile app
sidhani kama kweli unaijua Quran.

Mungu huwa anasema wazi wazi humpa a mtakaye na humuongoa a mtakaye


mfano mtume Muhammad, Mungu amemuepusha na dhambi mara nyingi sana kabla hajapewa utume.

Alikuwa anapenda sana masuala ya ngoma kuzifata fata, lakini Mungu alikuwa anampa usingizi mzito sana ili asitende dhambi.


Pia naona umebisha mpaka suala zima la usawa wa mwanamke na mwanaume mpaka hapo umedhihirisha ni kwa namna gani ulivyo mweupe juu ya suala hili.
 
Hapana ,, wapo wanaokesha nyumba, za ibada lakini hawafanikiwi lakini wengine wasioabudu wanafanikiwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…