Lorenzo Insigne
Senior Member
- Nov 14, 2017
- 132
- 331
kamuulize babayako kwanza huenda alifanya hivyona je inawezekana mzee kanifunga katika maombi? maana alisema ataomba juu yangu
hivi kuachana kwa wema kunawezekanaje? kwamba wote mmeridhia kuachana? maana kama mmoja hajakubali kuachwa sijui kama kutakuwa kwemaIts called Karma.
Pole though. Tujifunze kufanya mema na kuachana kwa wema kabisa sio lazima kubaki maadui.
ulipotelea wapi?wewe sema tu ni domo zege usaidiwe hayo uloandika hayana hata uhusiano
hivi kuachana kwa wema kunawezekanaje? kwamba wote mmeridhia kuachana? maana kama mmoja hajakubali kuachwa sijui kama kutakuwa kwema
umenichekesha sana mkuuwewe sema tu ni domo zege usaidiwe hayo uloandika hayana hata uhusiano
Shukrani sana Mkuu nimekuelewa....maana naona nilikuwa nalazimisha sana mamboNimepitia situation kama yako mkuu! hakuna cha viboko wala nini! kikubwa badilisha focus ya maisha achana na ngono na mapenzi kwa ujumla tafuta pesa, mapenzi ibaki kuwa kama subset tu! na yasikufanye uwe slave! mkaribie mungu wako, tubu zambi zako,fanya.mazoezi sana,jipende kwa chakula na mavazi,usiyajutie makosa ya zamani chukulia kama darasa ambalo litakufanya kuwa bora kuliko ulivyokuwa before...... mambo mengine yatakaa shega mkuu!
majukumu mkuuulipotelea wapi?
bado umeizunguka point ....,Inawezekana.
Pale ambako unajiona kabisa you are drifting apart na zile hisia za kimapenzi hamna tena.
Ile spark imeshakufa.... not because you fight but kwa sababu unajihisi kabisa they are not what you thought they would me.
Hapo sasa mnaachana by mutual agreement.