Nahisi Mungu ananichapa kiboko

Mkuu nimeamini hichi kitu...natamani ningetulia maana maskini watoto wa watu walikuwa poa tu....
Nyie wanaume huwa mnafikiria kuwaumiza watoto wa kike sifa like in this life kuna kitu karma lazima kikupate mbaya sasa wanawake husahau tukipata atupendaye wewe mwanaume mawazo
 
Naona unatengeneza mazingira ya kuanzisha kitegauchumi cha kanisa usanihi wako uwezi kuwapata watu wenye akili timamu isipokua walokole huko makanisani
Eti sipati demu wakati wanawake wamekua kama jamvi la chooni sikuizi kilamtu anakamua hata chizi asiyepiga mswaki wala kuoga anapata demu mkali bora kwao ni kuwafichia siri isijulikane wametembea na wewe
 
Yaaani umewapa mimba wanawake 3 ....unamaanisha wote wanamimba kwa wakati mmoja ?? Maswali mengi saana yananijia kichwani ......
 
Nyie wanaume huwa mnafikiria kuwaumiza watoto wa kike sifa like in this life kuna kitu karma lazima kikupate mbaya sasa wanawake husahau tukipata atupendaye wewe mwanaume mawazo
Mkuu hili kosa ni kosa tu la ujana...kuisolve hii karma nafanyaje...maana nimekuwa mpweke bila sababu na mawazo yananitesa
 
Mkuu sio kutafuta mtu ila kuna vitu vinanitokea nashindwa kuvielewa kabisa...
 
Yaaani umewapa mimba wanawake 3 ....unamaanisha wote wanamimba kwa wakati mmoja ?? Maswali mengi saana yananijia kichwani ......
Mkuu hapana sijathibitisha nahisi tu mimba yawezekana ni za watu wengine ...
 
Mkuu hili kosa ni kosa tu la ujana...kuisolve hii karma nafanyaje...maana nimekuwa mpweke bila sababu na mawazo yananitesa
Jisamehe mwenyewe tubu kwa Mungu wako waombe msamaha uliowatesa kiujanja mioyo yao ikiwa na furaha nawe utakuwa huru
 
Jisamehe mwenyewe tubu kwa Mungu wako waombe msamaha uliowatesa kiujanja mioyo yao ikiwa na furaha nawe utakuwa huru
Nashukuru mkuu nitajitahidi nifanye hivo... Maisha haya bila kurudi nyuma sitakuwa binadamu
 
Usinikumbushe hayo ndugu yangu. Kipindi nipo shule enzi hizo kuna demu alinipendaga harafu akanitamkia mbele ya darasa me nikamzibua bonge la kibao harafu nikaenda kumshitakia kwa waalimu officen. Unajua nini kilitokea katika maisha baada ya shule najuta kumkataa au kuzuia hisia za yule binti. Kuna mda nakumbuka natamani nimuone yule binti nimuombe msamaha lakini sijui nitampatia wapi. Sitaki hata kusimulia yaliyo nikuta. Amini tu mungu yupo inabidi tubadilike.
 
Na usipo jirekebisha mke utakaye mpata lazima atakuumiza laa atakuwa pasua kichwa
Naahukuru mkuu nimejifunza kitu kikubwa....nitajirekebisha mara moja
 
Kabisa mkuu...Pole sana. Mungu atusamehe tu
 
Tubu dhambi zako umrudie Mungu uliyemwacha, acha kabisa uzinzi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…