Heshima kwenu wakuu, kiumri ni mkubwa 45+, nimekuwa na shida ya uzazi na shemeji yenu, anabeba ujauzito linajitokeza tu tatizo kidogo tunapoteza mtoto siku ya kujifungua na always huwa anajifungulia hospitali ya mkoa, first born wetuana 17 yrs now, tulimpata tukiw chuo. Second ambae ni wa 5kuzaliwa ana 4yrs.
Kama mwanaume nlitaman sana kuwa na watoto wadiopungua 5, na hii imeniathiri sana kisaikolojia ikapelekea nikawa mtu wa kujitenga sitaki marafiki yasn nikitoka job ni home tena chumbani tu, hata ofisini huwa sina story kabisa na mtu isipokuwa ofice mate wangu ambaye tupo ofisi moja.
Jambo hili lilinipelekea kuwaza kuongezamke ila kukawa na shida ya imani, familia pia, mm ni mkristo.
Kwa kuwa umetukataa haina noma, acha mizee wenzako wakujaze upupu kichwani.
Tukubali kutofautiana, watoto wangu wote wamepimwa DNA na wao wanajua hadi majibu. Wapo proud of thatMwaka 2011 nilipata mtoto wa kiume katika mazingira yanayotaka kufanana na yako, nikaona nimsubiri mtoto afukishe miaka kama Mitano nikapime badaye ila badaye nilajiuliza VIP mtoto nikipima mtoto akawa wangu na akaja kujua kama niliwah kumpima DNA, na asipokuaa wa kwangu nitapeleka wap, kwan kuna shida gan kulea mtoto ambaye sio damu yangu. Dunia hapa tunapita hakuna haha ya kujipa stress, jambo lishatokea lipokee kama lilivyo waza mambo mengine, Huyo ni mwanao achana na mambo ya DNA wala kufanana vidole, achana na kufatilia hayo
Vichwa gani tena mkuu?Kama vile nakuona unavyochakarika kula vichwa
Ndugu intelligent business umeuona mstari wa mwisho ,kaka hawataki GEN Z kabisa kwenye uzi wake eti sasa sijui mtanchangia wapi aisee ,maana wengine nao huko mkichangia naona wanawatoa mkukuHeshima kwenu wakuu, kiumri ni mkubwa 45+, nimekuwa na shida ya uzazi na shemeji yenu, anabeba ujauzito linajitokeza tu tatizo kidogo tunapoteza mtoto siku ya kujifungua na always huwa anajifungulia hospitali ya mkoa, first born wetuana 17 yrs now, tulimpata tukiw chuo. Second ambae ni wa 5kuzaliwa ana 4yrs.
Kama mwanaume nlitaman sana kuwa na watoto wadiopungua 5, na hii imeniathiri sana kisaikolojia ikapelekea nikawa mtu wa kujitenga sitaki marafiki yasn nikitoka job ni home tena chumbani tu, hata ofisini huwa sina story kabisa na mtu isipokuwa ofice mate wangu ambaye tupo ofisi moja.
Jambo hili lilinipelekea kuwaza kuongezamke ila kukawa na shida ya imani, familia pia, mm ni mkristo.
Akili niliyopata ni kutafuta mwanamke 1 nizae nae tu. So miaka ya, 2018 nikaanza huo mchakato, binti wa 1 nlimpata mdogo tu tukakubaliana ila ssalitoa mimba huko nyuma vibaya akapata infections akawa hadhiko mimba tihangaika sana bila mafanikio ikabidi nimwache aolewe, binti wa 2 nlimpata ila nikagundua malaya tu nikaacha, 2022 nlipata mwingine I knew hajatulia ila nlikubaliana na kila kitu ili mradi anizalie nae tuliachana coz aliniomba nimsomeshe chuo akapata bwana mwaka wa 2 tu.
2023 nikapata binti mwingine, nae nlimkuta yupo kwenye relation japo alinidanganya, nlidumu nae miezi 6 nikaona isiwe tabu kwani nlikuwa km option kwake, baada ya miezi km 3 alirudi akaniambia nna ujauzito wako, nlitaka kulataa but nikafikiria nnataka mtoto, ikabidi turudiane tu, alirudi kwa kasi na serious balaa maana mwanzo nlikuwa kama nafosi kila kitu. Na kudanganywa sana.
Alikuwa analala kwangu hata wiki, baadae nikampangishia na nikaenda kumfata kwao nikapewa kwa ridhaa ya baba na mama yale, nililea ujauzito hadi akajifungua na sasa dogo ana mwaka na miezi 8, tunaishi wote pikapakua, nampenda sana ni binti mzuri wa sura na tabia pia japo bado mdogo sana kwangu, shida sasa alivyojifungua alizidisha miezi2 yaan dogo kazaliwa mimba ya miezi 12 hivi ama 11.5, and wasiwasi wangu ulianzia hapo, mtoto hanifanani popote ispokuwa kidole 1 cha mguu kidogo huwa sina kicha pa1 na komwe,
Nlienda ustawi kuulizia dna process ni rahisi tu ana kwa laki3 kila kitumwake,
Sasa nipo niiapanda endapo nitapima na kujua sio wangu tutaachana hilo ndo naliohopa coz nahitaji watoto 2 toka kwake nafikiria kufunika kombe ili anizalie tu potelea mbali huyu nitamchulua kama wangu. Ama nikapime ili moyo wangu uwe na amani.
Nataman sana adults ndo wachangie uzi huu wewe kama ni chini ya 35 of age haya mambo yaache
Hizi ndo comment sasa, nashukuru sana bro.Mwaka 2011 nilipata mtoto wa kiume katika mazingira yanayotaka kufanana na yako, nikaona nimsubiri mtoto afukishe miaka kama Mitano nikapime badaye ila badaye nilajiuliza VIP mtoto nikipima mtoto akawa wangu na akaja kujua kama niliwah kumpima DNA, na asipokuaa wa kwangu nitapeleka wap, kwan kuna shida gan kulea mtoto ambaye sio damu yangu. Dunia hapa tunapita hakuna haha ya kujipa stress, jambo lishatokea lipokee kama lilivyo waza mambo mengine, Huyo ni mwanao achana na mambo ya DNA wala kufanana vidole, achana na kufatilia hayo
Kuna mtu aliandika humu, wanaume tunapenda sasa kutafuta matatizoDahh mtu umeoa na umesha zeeka ila Sasa kubonyeza bonyeza vibinti kisa unataka mtoto wa 5??? Acha umalaya mkuu.
Kweli ni mtoto wa afu 2000Mi sio kijana
Hali ya kukosa mtoto hasa pale unapokuwa unajiweza huwa inatesa sana hasa kwa mwanaume kwani hofu zinakuwa nyingi kuchapiwa mkeo,kukosa mrithi,pressure za wazazi nk.Heshima kwenu wakuu, kiumri ni mkubwa 45+, nimekuwa na shida ya uzazi na shemeji yenu, anabeba ujauzito linajitokeza tu tatizo kidogo tunapoteza mtoto siku ya kujifungua na always huwa anajifungulia hospitali ya mkoa, first born wetuana 17 yrs now, tulimpata tukiw chuo. Second ambae ni wa 5kuzaliwa ana 4yrs.