Walinipita nikiwa nje ya nyumba niliyokuwa naishi pana salon nilikuwa pale sikujua kama wanakwenda kwangu so nikaendelea na kusukwa baada ya kumaliza yao ndo hg akanipigia simu nilipokwenda mbio nikaitambua ikimalizikia kuwa ndiyo ile iliyonipita nje nikiwa salon''..nilivamiwa nyumba na wanaume sita walikuwa wamevaa kininja bahati nzuri walinipita nje na kumkuta house girl wakaishia kumbaka na kumsababishia maumivu makali..''
Wote 6 walimbaka kwa muda gani? Walikupita nje, ulichukua hatua gani wakati wakiwa ndani wanambaka housegirl wako?
Hakuna ambacho hakijaeleweka kama huamini acha wanaoamini wanisaidie wewe pita tu....sounds like a baked story, wakati huyo hg anabakwa, yeye alikuwa nje, hakuchukua hatua yoyote wakati wanaume sita wakimbaka? Wanaume sita kubaka mwanamke mmoja takes long, kuna ukakasi hapo.
Lakini hata tukio la pili la kuvunjiwa nyumba, huku akiponea chupuchupu huko chooni lina ukakasi, lakini pia hata hilo la kublokiwa na hao maninja then polisi wakapita na jamaa kukimbia lina ukakasi.
Waliwafukuza majambazi lkn wakatokomea na kuliacha gari, lilipelekwa kituo na mwenye gari alikamatwa lkn anadai gari Alishaliuza lkn kadi haikubadilishwa jina lake na hajui aliyemuuzia alipo, ametoka kwa dhamana.supasabu ya monica hii
ghahawa hii uipatie kashata,tamuje
Hio hg kugegedwa kwa mujibu wa mleta uzi amesema wamefanana kiumbo. Kwahio hao jamaa inawezekana walidhania ndio muhusika, lakini wamejua kama sie ndio maana wamerudi tena. Simtilii shaka hg lakini kama ex-wake mleta uzi ameshawahi kuwa na mahusiano ya siri na huyo hg. Lakini wasiwasi wangu na mleta huu uzi kwenye askari wa doria, hao askari walisimama na kuongea nae? Waliwafukuza hao majambazi? Au hawakuona kilichotokea na kupita na zao?
Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
Hili ndilo tatizo la wanawake wengi,huwa mnatafsiri matendo kama haya kuwa ni upendo wakati kwa kiasi kikubwa yanaletwa na kichaa,kutojiamini na kutokujitosha. Mtu mwenye matatizo hayo,huwa hawezi kumove on baada ya kuachana maana huamini kuwa hana uwezo wa kujenga future independently baada ya wewe kuwa center yake ya mafanikio n.k Na ubaya wa hii hali ni kuwa,hata yeye huwa mawazoni mwake haamini kuwa ana matatizo hayo na huwa anajiona yuko sawa kabisa.pole sana huyo mchawi kalaba"mmeo"bado anakupenda so hataki kuona unafanikiwa ndo maana anakufanyi hvyo mpeleke polisi haraka maana nahis ana udugu na hitler
Wanajamvi habari za majukumu?
Nina mambo kadhaa yanayonisumbua akili yangu na kuninyima amani sana. Kwa wale wanaokumbuka tatizo nilopata la aliyekuwa mume wangu kumpa mimba mdogo wangu, hichi nadhani ndo kimekuwa chanzo cha kuniweka katika wakati mgumu.Tangu nilipoamua kuachana nae nimekuwa napitia matatizo tofauti hii inananifanya nihisi yeye ndiye muhusika wa yote.
Kwanini nasema hivi ni kwa sababu zifuatazo;
Nikiwa na wiki tatu tangu tuachane nilivamiwa nyumba na wanaume sita walikuwa wamevaa kininja bahati nzuri walinipita nje na kumkuta house girl wakaishia kumbaka na kumsababishia maumivu makali.Nililipoti polisi na nikafuata taratibu zote za kisheria ndipo nikampeleka hospital na kupatiwa matibabu.
Nilipomuhoji hg walichomwambia kabla ya kumbaka analinijibu walimwambia kuwa anaringa sana na hivyo vijisent vyake, baada ya kusikia vile nikajua mlengwa nilikuwa mimi na walidhani yeye ndiye mimi kwakuwa miili yetu ni kama tunalinga.Nilipoona vile nikaamua kuhamia nyumba yangu nyingine ambayo nilitaka kuipangisha.
Lakini napo baada ya wiki moja tangu nimehamia pale tena nilivamiwa na safari hii ikiwa ni usiku wa saa nane. Niliponea chupuchupu baada ya kujificha choo, safari hii wakabeba baadhi ya vitu vya thamani ikiwemo TV na laptop pamoja na simu. Wakati naendelea kutafakari hayo nikiwa njiani narejea nyumbani nikiwa naendesha gari ghafla ikatokea gari nyingine mbele yangu ikija kwa kasi sana huku ikiyumba pande zote za barabara nikaamua kusimama baada ya kuhofia kugongana.
Niliposimama tu ile gari ikaniblock ghafla wakatelemka wanaume wanne wakiwa wamevalia kininja wakaniamuru nishuke kwenye gari wakati nateremka ghafla ikatokea gari ya polisi wakiwa doria wale majambazi wakawa wamekimbia, ikawa salama yangu tena.
Ndipo nilipoamua kuhama tena na Leo hii nina siku kadhaaa tangu nimehamia hapa. Najiuliza nini sababu ya haya yote, naishia kuhisi huenda mtalaka wangu ndiyo muhusika mkuu bado sina hakika sana. Nawaza kumfuata nimwambie nimebaini kuwa yeye ndiye muhusika na wakati mwingine nawaza kumshitaki polisi, nipo njia panda naomba ushauri wenu please ili niishi kwa amani.
Asanteni.

Unafuatilia kwa karibu walipofikia kwa huo upelelezi then kama una uwezo kiasi waweke KK security hapo unapoishi na kila unapotoka jitahidi muwe zaidi ya mmoja na mazingura ambayo sio rahisi sana kutekwa. Usiwe na ratiba maalumu ya kurudi home na kama una ndg hapo Dar basi wakati mwingine uwe unapumzika na kulala huko.Polisi nilishakwenda na taarifa wanayo Mara zote nililipoti, siwezi kuandika kila kitu humu kwasabbu upelelezi bado unaendelea
Bilashaka hili linaitwa swali chokozikwani wewe unapesa kumzidi yeye?