Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
baada ya kureport tukio la h/girl hayo mengine unanyamazia? baada ya police kutokea ikawaje hukuwaeleza kilichotokea?
Sasa hivi wanahamia Dodoma.wanaume wa dar wanamatatizo aisehh
Sasa hivi wanahamia Dodoma.
Teh teh. Hakuna namna.hahah tuwapeleke kwa mkopo maana wamezidi ndugu yangu kila siku wao ni kusemwa na hawataki badilika
Story imetungwa hii,no correlation at all
House girl hahusiki kwa sababu walimshagegeda so angehusika siku ile ya kwanza tu wangemuacha.Kila unapohamia hao majambazi wanajua ulipo! Nahisi kutakuwa na mtu wako wa karibu sana mwenye kutoa habari wapi ulipo. Chunguza house girl, ndugu yako au shoga zako. Siwezi kumuhusisha ex- Wako moja kwa moja ikiwa wewe mfanya bisashara. Hujamtenda(kumuimbia) mwezio? Pia badilisha cm card yako inawezekana kuna mtu anakutrack hatua zako zote.
Hio hg kugegedwa kwa mujibu wa mleta uzi amesema wamefanana kiumbo. Kwahio hao jamaa inawezekana walidhania ndio muhusika, lakini wamejua kama sie ndio maana wamerudi tena. Simtilii shaka hg lakini kama ex-wake mleta uzi ameshawahi kuwa na mahusiano ya siri na huyo hg. Lakini wasiwasi wangu na mleta huu uzi kwenye askari wa doria, hao askari walisimama na kuongea nae? Waliwafukuza hao majambazi? Au hawakuona kilichotokea na kupita na zao?House girl hahusiki kwa sababu walimshagegeda so angehusika siku ile ya kwanza tu wangemuacha.
''..nilivamiwa nyumba na wanaume sita walikuwa wamevaa kininja bahati nzuri walinipita nje na kumkuta house girl wakaishia kumbaka na kumsababishia maumivu makali..''
Wote 6 walimbaka kwa muda gani? Walikupita nje, ulichukua hatua gani wakati wakiwa ndani wanambaka housegirl wako?
Mtalaka?Pole sana dada, itakuwa ni huyo mtalaka we chunguza zaidi
Story nzima ina ukakasisi nimemwuliza hajajibu bado...sounds like a baked story, wakati huyo hg anabakwa, yeye alikuwa nje, hakuchukua hatua yoyote wakati wanaume sita wakimbaka? Wanaume sita kubaka mwanamke mmoja takes long, kuna ukakasi hapo.
Lakini hata tukio la pili la kuvunjiwa nyumba, huku akiponea chupuchupu huko chooni lina ukakasi, lakini pia hata hilo la kublokiwa na hao maninja then polisi wakapita na jamaa kukimbia lina ukakasi.
Mbona kama stori?