Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,378
Unajitetea au unamtetea Govinder wako?? Govi "halifai"!
Mwaka na nusu mnalala pamoja na hujui kuwa?
eeeh?
Na wanaoga pamoja
jina lako lipo kiumekiume kumbe wewe mdada
Mwaka na nusu mnalala pamoja na hujui kuwa?
eeeh?
Nasikia kuna madhara ya govi ndio mana naogopa.
Unajitetea au unamtetea Govinder wako?? Govi "halifai"!
najutia kukata govi...ningekuwa nalo leo ningekuwa habari ya mujini...kitu nachuro. huhitaji kuvaa ndomu..unafunga mbele na rubber band unamkamua mtu ukikojoa unaenda toi kufungua rubber unamwaga mzigo...
Hii kali sana aisee.........
Mwaka na nusu hujui "dudu" yake ikoje????
Yaani ndani ya miezi 3 tu unapaswa uwe unaijua ndani nje...
Sorry hujawahi hata kujipimia? Maana ungeijua
Anyway vunja ukimya sema nae....maana kuna dalili za kuuziwa mbuzi kwenye kiroba