Nahisi mpenzi wangu ana bwana mwingine

Nahisi mpenzi wangu ana bwana mwingine

ehh Mungu hebu mfumbue macho huyu kipofu aliyeko jangwan.nahc kabisa anaendwa kuambukzwa ukimwi huko moro.

Mh! Mwenye macho na aone. Mwenye masikio na asikie sina mengi zaidi ya hayo.
 
ngoja nikuambie k2, ukipata binti akiwa mdogo mfn 4m 3 unakuta hajajua mambo mengi, hivyo anavyokuwa na kuona mambo mengi zaidi nae hupenda kubadilika na kuacha vya nyuma...pili kama huyo ndo mara ya kwanza kuja dsm sitashangaa maana huwa wanapotezwa na jiji mazima!
 
Akija Moro mwambie uko bado uko Dodoma makao makuu ya Tanganyika na mshauri apande bus kuja Dom baada ya nusu saaa au saaa kamili hata masaa mawili mtumie msg mwambia umemaliza ulichokifata Dom na unafikiri kurudi Dar zima simu endelea na shughuli zako mpaka siku inayofuta
 
Gudboy tupe muendelezo wake? Vp ulifanikiwa kumla? Miaka mi3 ishapita!
 
Last edited by a moderator:
kwanza kumbuka kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi kwa dini zote! Na hata kimila, ushauri kama unapenda kufanya ngono na kuepukana na adha za kulia,kuchanganyikiwa na kupunguza utendaji wako wa kazi.AMUA KUOA SASA IYO NDIO TIBA PEKEE.magonjwa ya zinaa pia yatakoma.ila kwa ss upo hatarini!!
 
unaogopa Ukimwi? hiyo w/kend nendeni angaza wik inayofuata mtachagua la kufanya
 
Take risks in your life
If you win, you can lead!
If you lose, You can Guide!
 
mimi ni kijana wa miaka 27, nimehitimu chuo na sasa nafanya kazi serikalini. nina mchumba ambaye naye baada ya kumaliza kidato cha 4 aksoma kozi za computa nae kwa sasa ana kazi. huyu binti nilianza nae uhusiano akiwa form 3 wakati huo nikiwa mwaka wa kwanza chuo. tulipenda sana mwanzo wa mapenzi yetu na kipindi hicho tulikutana dodoma. baada ya kumaliza kidato chake cha 4 alikuja dar kwa dada yake. sasa tatizo ndipo lilipoanzia. nikimwambia tuonane atakubali lakini hawezi kutimiza ahadi mpaka na kibaya zaidi hakupi taarifa yoyote. nimejitahidi kulalamika sana kuhusiana na tabia hiyo na atasema atajirekebisha lakini atarudia tena. kama siku akija kwangu atakua yupo kwenye siku zake na hapo maana yake huwezi kusex nae. hiyo kitu inaniuma sana na ukizingatia sina demu mwingine na pia naogopa sana ukimwi nami ni mwaminifu sana kwa mpenzi wangu. nilitamani niwe na demu mwingine lakini naogopa ukimwi. sasa ilifika mahali ikabidi nimwambie kuanzia leo mimi na wewe na siku nilipokua namwandikia sms hii nilikua nalia machozi mpka nikajona mimi ni ***** sasa kinachoniliza mwanaume mzima ni nini? toka siku hiyo ndio nikajua mapenzi yana nguvu, hadi namwaga chozi. alinijibu mbona hayo ya kawaida tu. na akadai nifute namba zake naye atafuta zangu, nilifanya hivyo.

sasa nikaanza kumsahau na nikawa busy sana na kazi, sasa cha ajabu baada ya miezi 2 kupita akapiga simu na kudai kuwa ananisalimu, nikasema ahsante kwa kunikumbuka, akapiga tena siku ya pili na nikwamwmbia nipo dom, akasema umekwenda kwetu kuwasalimu, nikamuuliza nitaanzia wapi?

akafululiza wiki nzima anpiga simu, sasa anataka kurudi kwangu kwa nguvu zote, nami nampenda. ila nilihisi lazima atakua na mwanaume mwingine, sasa sijui imekuwaje huko sasa anarudi kwangu. na sasa hivi nimesafiri moro naye nikamwambia aje w/end na amekubali kuja.

sasa ndugu zangu nifanyaje je ananipenda kweli huyu na je hatanisumbua tena, maana naumia sana kwa mapenzi ila nampenda.
Unafunga kizimba wakati kuku ameshatoroka? Umeshamrejea na hata kumwekea date sasa tukushauri nini? Dalili zote unaziona, hutaki ukimwi lakini unakuwa tayari kuwa mzembe kwa mtu asie muaminifu kwako, huoni kuwa huko siko?
 
''It is a dangerous mistake to ignore your HEAD because of your HEART'' Usiache moyo uamue ktk hali kama hiyo Kichwa kiamue
 
af huyu jamaa hajarudi kuleta mrejesho..possibly alishaanza kutumia ARV fake....Lol
 
piga chini fasta!! huyo ameharibu huko alikokuwa ameenda kujificha, sasa na wewe bila kuhoji kulikoni alikukimbia then gafla anarudi na kukuona lulu, wewe unakuwa kama zuzu na umeshachanganyikiwa. Fanya maamuzi kijana chana na papara za huyo changudoa. Hebu kwanza tuambia wkendi umemweleza nini alipokuja moro? ama ndo kwanza ulianzai uvinza?? vijana wa jk mna matatizo!!!
 
mimi ni kijana wa miaka 27, nimehitimu chuo na sasa nafanya kazi serikalini. nina mchumba ambaye naye baada ya kumaliza kidato cha 4 aksoma kozi za computa nae kwa sasa ana kazi. huyu binti nilianza nae uhusiano akiwa form 3 wakati huo nikiwa mwaka wa kwanza chuo. tulipenda sana mwanzo wa mapenzi yetu na kipindi hicho tulikutana dodoma. baada ya kumaliza kidato chake cha 4 alikuja dar kwa dada yake. sasa tatizo ndipo lilipoanzia. nikimwambia tuonane atakubali lakini hawezi kutimiza ahadi mpaka na kibaya zaidi hakupi taarifa yoyote. nimejitahidi kulalamika sana kuhusiana na tabia hiyo na atasema atajirekebisha lakini atarudia tena. kama siku akija kwangu atakua yupo kwenye siku zake na hapo maana yake huwezi kusex nae. hiyo kitu inaniuma sana na ukizingatia sina demu mwingine na pia naogopa sana ukimwi nami ni mwaminifu sana kwa mpenzi wangu. nilitamani niwe na demu mwingine lakini naogopa ukimwi. sasa ilifika mahali ikabidi nimwambie kuanzia leo mimi na wewe na siku nilipokua namwandikia sms hii nilikua nalia machozi mpka nikajona mimi ni ***** sasa kinachoniliza mwanaume mzima ni nini? toka siku hiyo ndio nikajua mapenzi yana nguvu, hadi namwaga chozi. alinijibu mbona hayo ya kawaida tu. na akadai nifute namba zake naye atafuta zangu, nilifanya hivyo.

sasa nikaanza kumsahau na nikawa busy sana na kazi, sasa cha ajabu baada ya miezi 2 kupita akapiga simu na kudai kuwa ananisalimu, nikasema ahsante kwa kunikumbuka, akapiga tena siku ya pili na nikwamwmbia nipo dom, akasema umekwenda kwetu kuwasalimu, nikamuuliza nitaanzia wapi?

akafululiza wiki nzima anpiga simu, sasa anataka kurudi kwangu kwa nguvu zote, nami nampenda. ila nilihisi lazima atakua na mwanaume mwingine, sasa sijui imekuwaje huko sasa anarudi kwangu. na sasa hivi nimesafiri moro naye nikamwambia aje w/end na amekubali kuja.

sasa ndugu zangu nifanyaje je ananipenda kweli huyu na je hatanisumbua tena, maana naumia sana kwa mapenzi ila nampenda.

POLE SANA NDUGU,,ushauri wangu kwako,jitahidi umpe muda wa kumtafiti maana kama kuna viumbe ambao duniani HAWAELEWEKI basi mwanamke ni mmoja wa viumbe hivyo.
Najua uzito wa kupenda,pia najua maana ya kulia LAKINI mambo yakikuzidi simama kama mwanaume kamili na si nusu mwanaume.
 
Kama unampenda kweli huyo mwanamke na bado unataka kuwa nae basi nawe mtege kama ifuatavyo, inawezekana alivyokuwa hataki kuja kwako akiwa fresh ni kwamba hataki kusex na wewe kwa kuogopa mimba na kuachwa au kujiheshimu tu, sasa akija moro kwanza mpokee vizuri tu then muulize kistaarabu kwanini alikuwa akikufanyia hivyo then mpime kama alimaanisha niyasemayo basi wewe jifanye mgumu na usifanye nae tendo lolote bali mlale tu na akirudi dar kama anakupenda kweli hiyo itamuuma sana kwani atakuwa alijiandaa kwa hilo then kakosa so kama ana mtu mwingine atamrudia tu na kama hana atakuja kukubembeleza na hata ukirudi wewe usimpigie simu kama akipiga wewe ongea nae tu vizuri then baada ya muda kama anaendelea kukusumbua basi ujue anakupenda na kama kuna mtu alimpata kashamuona hafai au kashampiga down so ni nafasi yako kumrekebisha sasa kwani kumwacha si solution, wazungu wanasema running away from a problem is not a good method of solving it so.

Yah Launoni u r very ryt. thats a good advise. aifanyie kazi hiyo
 
Tatizo huwa mnakuja kuomba ushauri wakati mshafanya maamuzi.

Soma comment za watu utajua kuwa hawaipendi tabia ya huyu dada na wanakutakia mema, ila ukijifanya kichwa ngumu utaumia.
 
99% Ya Walio Comments Wanasema Piga Chini...

Uzi Umebeba Hisia Kubwa Na Unalenga Wengi.... Usije Kukimbia, Tutataka FeedBack Kutoka Kwako
 
mimi ni kijana wa miaka 27, nimehitimu chuo na sasa nafanya kazi serikalini. nina mchumba ambaye naye baada ya kumaliza kidato cha 4 aksoma kozi za computa nae kwa sasa ana kazi. huyu binti nilianza nae uhusiano akiwa form 3 wakati huo nikiwa mwaka wa kwanza chuo. tulipenda sana mwanzo wa mapenzi yetu na kipindi hicho tulikutana dodoma. baada ya kumaliza kidato chake cha 4 alikuja dar kwa dada yake. sasa tatizo ndipo lilipoanzia. nikimwambia tuonane atakubali lakini hawezi kutimiza ahadi mpaka na kibaya zaidi hakupi taarifa yoyote. nimejitahidi kulalamika sana kuhusiana na tabia hiyo na atasema atajirekebisha lakini atarudia tena. kama siku akija kwangu atakua yupo kwenye siku zake na hapo maana yake huwezi kusex nae. hiyo kitu inaniuma sana na ukizingatia sina demu mwingine na pia naogopa sana ukimwi nami ni mwaminifu sana kwa mpenzi wangu. nilitamani niwe na demu mwingine lakini naogopa ukimwi. sasa ilifika mahali ikabidi nimwambie kuanzia leo mimi na wewe na siku nilipokua namwandikia sms hii nilikua nalia machozi mpka nikajona mimi ni ***** sasa kinachoniliza mwanaume mzima ni nini? toka siku hiyo ndio nikajua mapenzi yana nguvu, hadi namwaga chozi. alinijibu mbona hayo ya kawaida tu. na akadai nifute namba zake naye atafuta zangu, nilifanya hivyo.

sasa nikaanza kumsahau na nikawa busy sana na kazi, sasa cha ajabu baada ya miezi 2 kupita akapiga simu na kudai kuwa ananisalimu, nikasema ahsante kwa kunikumbuka, akapiga tena siku ya pili na nikwamwmbia nipo dom, akasema umekwenda kwetu kuwasalimu, nikamuuliza nitaanzia wapi?

akafululiza wiki nzima anpiga simu, sasa anataka kurudi kwangu kwa nguvu zote, nami nampenda. ila nilihisi lazima atakua na mwanaume mwingine, sasa sijui imekuwaje huko sasa anarudi kwangu. na sasa hivi nimesafiri moro naye nikamwambia aje w/end na amekubali kuja.

sasa ndugu zangu nifanyaje je ananipenda kweli huyu na je hatanisumbua tena, maana naumia sana kwa mapenzi ila nampenda.
Kiongozi upo sawa kweli? kwa sababu unachanganyachanganya mambo sana. Sikiliza wewe mvulana wewe unaonekana bado hujakuwa. 1.M2 mwenyewe unaemlilia hakuthamini na pili sioni haja ya wewe kuendelea kumnyenyekea wakati alishakusababishia kilio. Nakushauri kwa herufi kubwa ACHANA NAE, HUYO AMESHACHACHA NA SASA HIV ANAJIFANYA KUJIRUDISHA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom