Nahisi mpenzi wangu ana bwana mwingine

Think twice, and learn to let it go!
Life is good and bad in equal measure, trust your instinct and follow your heart. But my advice is ....I know how it feels like, hakuna kuachana kudogo mdogo wangu! cha muhimu, jaribu kuushinda moyo unaokueleza kuwa huwezi kupata dada mwingine na utumie akili.
I really know how hard it is but i'm pretty sure you can jump out this messy and move on with someone who loves you.
Huyu dada hata kama anataka msaada wako, msaidie sana lakini keep distance. Vuta subira kidogo...try to engage your brain and look some where else, i'm sure you'll get your right mate and life will go on.
Ukianza kulia oooh! nilimpenda sana..."it doesn't change anything of her character and it has alot on damaging yours".
Once again, listern to other peoples experience, listern to your heart but try to direct your heart by engaging your brain. This is my advice but the choice is yours.

Lastly, life is tragedy to those who feel and is equally comedy to those who think!!! Engage brain , think....don't worry about your loving heart....you'll be ok!
 
We acha tu, haya ya kupenda mtu mpaka unajisikia unataka kulia au unaangusha mchozi yanawakuta wanaume wengi sana. Huyu binti naona huyo njemba mwingine kishaingia mitini sasa anataka kurudi kwako kwa nguvu zote. Kama walivyosema wachangiaji wengine ni bora upige moyo konde na kuachana naye maana tabia yake uliyoielezea si ajabu akairudia tena siku za usoni. Piga moyo konde utafute GF mwingine ambaye atakupenda kwa dhati na kuheshimu matakwa yako.
 
umenena mkuu,

huyu mheshimiwa huyo ndiye mwanamke wake wa mwanzo. Kwenye mapenzi, lazima upigwe chini kwanza...uchanganyikiwe kidogo, halafu akili ikikaa sawa nawe unampiga mtu chini! (a.k.a...kumkoma nyani Giladi!)...

Bila hivyo hutapata ujasiri wa kuishi nao hawa kina dada...
 
umenena mkuu,

huyu mheshimiwa huyo ndiye mwanamke wake wa mwanzo. Kwenye mapenzi, lazima upigwe chini kwanza...uchanganyikiwe kidogo, halafu akili ikikaa sawa nawe unampiga mtu chini! (a.k.a...kumkoma nyani Giladi!)...

Mambo ya mahusiano bwana mhh! Kila upande unavutia kwake.Wanaume wanawaona wanawake kama........
Wanawake nao wanawaona wanaume kama kituo cha polisi!
Ila hapohapo hakuna wenye kujitosheleza wenyewe.....kila kundi linahitaji lingine.Si mfikie mid point tu na kuaccept kuwa mapungufu ni ya lazima....na kusonga mbele?
Mara oh... kanidanganya namwacha..mara ohh siwezi kuishi bila yeye sasa inakuwaje? Ni game tu - hate the game not the player.
 
Mkuu kumbe demu wa Dom huyo lazima kicheche tu piga chini.

Duh, mwana hapo unakosea, kusema madem wa Dom vicheche,
Mbona mi wangu ni wa dom, but siyo kicheche hivyo??? wala hana tabia mbofu mbofu ka za huyo??? hapo ni swala la upeo finyu((
 
Nani kakwambia demu wako si kicheche?.....kidding mkuu. Ukicheche wa mtu haupo mkoani, upo kwa mtu mwenyewe jinsi alivyoumbika na alivyokuzwa. kwahiyo kusema wa DOM ni vicheche....ni uongo maana si DOM tu kuna vicheche, hata IR, AR, MB,MOR etc.

Kama gashi wako si kicheche hongera dude!
 
ehh Mungu hebu mfumbue macho huyu kipofu aliyeko jangwan.nahc kabisa anaendwa kuambukzwa ukimwi huko moro.
 
mmhhh,ila wadada bana tuna mambo,huyo katemwa huko alikokua anakutegemea!ndo maana kaona hana jinsi zaidi ya kurudi kwako!...ww mwache aje uwe unakula 2(tumia condom)ila tafuta dem mwingine wa ukweli
 
mkuu ni transition period ya mapenzi.kama alivyosema mdau hapo juu kwa asilimia kubwa huyu ni mpenzi wako wa kwanza.so unachokutana nacho ndo kinakuomaza kweny hii field ya mapenzi bila kuchezea za uso huwez kwenda sawa na kuwa jasiri
 
Pasua vichwa hawa au salio halisomi vizuri maana siku hizi wanaangalia salio likoje

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Alitupa mtoto kwa kujivunia mimba, kama bado unampenda bac do the necessary ila kujiscan muhimu
 
Duh, mwana hapo unakosea, kusema madem wa Dom vicheche,
Mbona mi wangu ni wa dom, but siyo kicheche hivyo??? wala hana tabia mbofu mbofu ka za huyo??? hapo ni swala la upeo finyu((

Mh!! Apia??
 
We acha tu, haya ya kupenda mtu mpaka unajisikia unataka kulia au unaangusha mchozi yanawakuta wanaume wengi sana. Huyu binti naona huyo njemba mwingine kishaingia mitini sasa anataka kurudi kwako kwa nguvu zote. Kama walivyosema wachangiaji wengine ni bora upige moyo konde na kuachana naye maana tabia yake uliyoielezea si ajabu akairudia tena siku za usoni. Piga moyo konde utafute GF mwingine ambaye atakupenda kwa dhati na kuheshimu matakwa yako.
Aisay yani kuna wanaume wengine wanashangazaa sana, sijui wanapenda vipi hawa utadhani hakuna wanawake wengine duniani.
 
Atakuwa hajitambui huyo au kaachwa alikokuwa amekimblia na kaona ww unafaa kuwa stress remover wake ss hapo akili kumkichwa
 
Think twice, and learn to let it go!
Life is good and bad in equal measure, trust your instinct and follow your heart. But my advice is ....I know how it feels like, hakuna kuachana kudogo mdogo wangu! cha muhimu, jaribu kuushinda moyo unaokueleza kuwa huwezi kupata dada mwingine na utumie akili.
I really know how hard it is but i'm pretty sure you can jump out this messy and move on with someone who loves you.
Huyu dada hata kama anataka msaada wako, msaidie sana lakini keep distance. Vuta subira kidogo...try to engage your brain and look some where else, i'm sure you'll get your right mate and life will go on.
Ukianza kulia oooh! nilimpenda sana..."it doesn't change anything of her character and it has alot on damaging yours".
Once again, listern to other peoples experience, listern to your heart but try to direct your heart by engaging your brain. This is my advice but the choice is yours.

Lastly, life is tragedy to those who feel and is equally comedy to those who think!!! Engage brain , think....don't worry about your loving heart....you'll be ok!

una digri ya canceling nin?
 
Amini nacho kuambia apo chini
.. Machozi uliyo lia juu ya uyo binti ni kusumbuliwa kwakuto kula mzigo wake wakati unampenda
$..sasa umepata nafasi..timiza ndoto yako.._tililiiiiiile wee baada ya apo ndo utawaza kama anakupenda au la!!!
 
Wewe ulikuwa back up plan kwa hiyo plan A imegoma inabidi plan B (wewe) iwe activated! Kupanga ni kuchagua....
 
Back
Top Bottom