jem the great
Member
- May 25, 2013
- 44
- 11
Kama huangalii confideration cup anza maramoja..mana utakua unakosa vitu vng..mambo aliyoyaonyesha huyu dogo ktk hiz mech 2..ame2dhihirishia kama anaenda barca kucheza mpira..
Usiangalie mchezaji kwa mechi 1 tu,hiyo ndio kasumba ya waingereza na wachezaji wao wakifunga mechi basi wanatangaza ni mchezaji bora wa dunia, bado Neymar ngoja akutane na timu ngumu eg Italy,Spain,Germany,Holland,Argentina nk.Nmeanza kumuona mda sema naskitka watu hawamkubal kabsaa..
Usiangalie mchezaji kwa mechi 1 tu,hiyo ndio kasumba ya waingereza na wachezaji wao wakifunga mechi basi wanatangaza ni mchezaji bora wa dunia, bado Neymar ngoja akutane na timu ngumu eg Italy,Spain,Germany,Holland,Argentina nk.
mie sidhani kama Mexico na Japan ni timu mbovu.angalia Japan alivyomsumbua Italia jana.lakini mechi zote mbili dogo kachezea sana mpira.nimemtazama mechi za Amerika kusini na za kirafiki,amecheza vizuri tu.tatizo tunamhukumu kwa mechi dhidi ya England na kumvisha vivuli vya akina Gaucho na Ronaldo.mie sipendi kumweka kwenye viatu vya hao legends kwa sababu Neymar ana character tofauti sana na strikers wengi wa Brazil.Ney ana mambo machache muhimu tu uwanjani,Ney hafikirii kufunga muda wote,anafikiria kuwapa wapinzani presha,hii ni faida.si lazima afunge.Neymar ana assist very effective.ana kasi,anajituma,anakimbiza kila mpira,anacheza muda mrefu akiwa peak.kwa namna yake ni mchezaji mzuri tu.na hapa tukumbuke kuwa tunamzungumzia mtu ambaye ndio anaanza kupanda lakini tayari tumeanza comparison na watu waliokwishacheza muda mrefu,wamefanya mengi,wamemaliza.tukumbuke pia Brazil ya Gaucho hakuwa peke yake,palikuwa na wakali wengi.hebu niambieni ukweli,brazil hii ya Neymar,wachezaji kama yeye mle wako wangapi?pia Neymar hajacheza ulaya,ndo maana anadharaulika.tumsubiri acheze.binafsi namkubali sana dogo.nawashauri mumtazame Neymar kama Neymar na si Gaucho,mtauona uzuri wake.muitazame Brazil yake ya akina Fred na Hulk na si ile ya Ronaldo,Ronaldinho,Rivaldo,kaka,Denilson na Cafu.tutazame soka yake uwanjani na si sura nzuri ya mtoto wa mama aliyonayo.kuna watu hawamkubali Beckham hadi leo kisa tu ni sura yake na mambo yake nje ya uwanja.hawa wachezaji wenye haiba ya ubishoo wabongo tuna kawaida ya kutokuwa na mzuka nao haijalishi wanacheza vipi uwanjani.sio watoto wa mama wote ni mayai,wengine mawe!
Aongeze nyama kidogo,ulaya si mchezo,anaenda kukutana na Pepe.
Acha woga, huna haja ya kuzungukazunguka we, wape makavu kina Gang Chomba - waambie laivu kuwa dogo Neymar kamfunika Ronaldinho wao!
Mimi binafsi bado sijamkubali Neymar,ngoja tumuone akiwa na Barca,akiboronga anauziliwa kwa mkopo AC Milan,Juventus au Extramadura,siamini sana vyombo vya habari vikikuza mchezaji,ngoja tuone tusipige mayowe,maana ligi ya America ni chenga twawala nyingi,na hata mechi Brazil vs Italy kuna faulo zingine refa kidogo kafanyiwa Neymar filimbi,nakumbuka AC Milan vs Barcelona kule Milan Messi unakuta faulo ktk eneo la penati ila refa alipeta sasa,hii bado sijamkubali Neymar ngoja aje akumbane na vikumbo vya kina Thomas Muller huku refa anapeta,binafsi nawakubali Messi na Cristiano Ronaldo,ni basi mataifa yao yanawaangusha ila laiti wangekuwa waspain,basi ningediriki kusema kila mechi Spain haikosi bao 3 kufunga,ni wazuri kwa mbali Suarez na Balotteli naona wanafuatia,Neymar bado ngoja tumuone akija la liga siamini kila Sky News na Pele wakisema kukuza watu wao.mie sidhani kama Mexico na Japan ni timu mbovu.angalia Japan alivyomsumbua Italia jana.lakini mechi zote mbili dogo kachezea sana mpira.nimemtazama mechi za Amerika kusini na za kirafiki,amecheza vizuri tu.tatizo tunamhukumu kwa mechi dhidi ya England na kumvisha vivuli vya akina Gaucho na Ronaldo.mie sipendi kumweka kwenye viatu vya hao legends kwa sababu Neymar ana character tofauti sana na strikers wengi wa Brazil.Ney ana mambo machache muhimu tu uwanjani,Ney hafikirii kufunga muda wote,anafikiria kuwapa wapinzani presha,hii ni faida.si lazima afunge.Neymar ana assist very effective.ana kasi,anajituma,anakimbiza kila mpira,anacheza muda mrefu akiwa peak.kwa namna yake ni mchezaji mzuri tu.na hapa tukumbuke kuwa tunamzungumzia mtu ambaye ndio anaanza kupanda lakini tayari tumeanza comparison na watu waliokwishacheza muda mrefu,wamefanya mengi,wamemaliza.tukumbuke pia Brazil ya Gaucho hakuwa peke yake,palikuwa na wakali wengi.hebu niambieni ukweli,brazil hii ya Neymar,wachezaji kama yeye mle wako wangapi?pia Neymar hajacheza ulaya,ndo maana anadharaulika.tumsubiri acheze.binafsi namkubali sana dogo.nawashauri mumtazame Neymar kama Neymar na si Gaucho,mtauona uzuri wake.muitazame Brazil yake ya akina Fred na Hulk na si ile ya Ronaldo,Ronaldinho,Rivaldo,kaka,Denilson na Cafu.tutazame soka yake uwanjani na si sura nzuri ya mtoto wa mama aliyonayo.kuna watu hawamkubali Beckham hadi leo kisa tu ni sura yake na mambo yake nje ya uwanja.hawa wachezaji wenye haiba ya ubishoo wabongo tuna kawaida ya kutokuwa na mzuka nao haijalishi wanacheza vipi uwanjani.sio watoto wa mama wote ni mayai,wengine mawe!