Nahisi mke wangu anani-cheat, nifanye nini kumkamata?

Nahisi mke wangu anani-cheat, nifanye nini kumkamata?

hapo majibu yanaweza Kuwa hela za kumpa, na Mimi Sina za kukidhi mahitaji yake yote Cha muhimu anakula vizuri tu.
Kama unajua tatizo ni hela kaa nae chini mzungumze mwambie aridhike na hicho kidogo mnachopata
 
Aisee Mtoto mdogo hivyo una mke?!
Maana mdogo wa mwisho kwangu ni mkubwa kwako na aisee huwa namwambia usikubali mwanamke akuzingue katika umri huo unatakiwa kufurahia maisha yako na kupambana kutimiza ndoto zako
Sijui hata nikushauri nini lakini pole
thank you man
 
Hapo dogo hakuna kuremba. Na bahati nzuri bado hamjajariwa kupata mtoto. Maana anaweza akawa wa kihindi.

Wewe fanya tu huo ushahidi wote ulioukuta unatosha kabisa kuachana nae. Vyote ulivyowahi kuvifuma kwenye simu ndio ushahidi wenyewe. Wewe mbwage sasa hivi kwa ushahidi huo huo.

Najua unampenda ndio maana unaona atasema sijui umemchoka. Hata akisema yote hayo baada ya kumuacha,wewe yapotezee. Mwisho wa siku tena sio nyingi mtakuwa mmesahauriana,kila mtu atakuwa anaendelea na mishe zake kawaida.

Yote hayo ni kwa ajili kuuponya moyo na maumivu ya baadae. Hayo unayoyapata sasa ni kidogo.

Nakuambiaje mbwage sasa hivi kwa ushahidi huo huo,kabla hamjaenda mbali. Akilalalama usijali. Endelea na hamsini zako
 
Ngoja kwanza..umesema una miaka 21 na umeishi nae miaka miwili means ulianza kuishi nae ukiwa na miaka 19 je yeye ana umri gani...amekuzidi,na je wewe ni tegemezi kwake au alikusupport mtaji? ukijibu haya ndio tapata pazuri pa kuanzia kukushauri..pole sana
Long story ila kiufupi kanizidi miaka 5, kanitangulia kujitegemea, baada ya Mimi kuanza kujitegemea pia ndipo tukaanza mahusiano mwisho wa siku tukakubaliana kuishi pamoja kwa lengo la kuokoa gharama ili nguvu iende kwenye kupambania future tukiwa pamoja
 
Katika maisha ya mahusiano ushauri Mtu haki kukoma na kujua jinsi ya kutawala hisia za mahusiano haya lazima yakupate ili ukamae na kuweza kuishi na hawa vioumbe wanaioitwa wanawake...hadi unakufa hutawaelewa la msingi ishi nao kwa busara na hekima kama walivyokushauri wanajf na kila mmoja amekupa uzoefu wake ni wewe kufanyia kazi anza kufanyia kazi alichokushauri LUKANKA ...muhumi kuzingatia kuwa pale utakapukuwa tayari kumuacha ukijajiridhisha kuwa hamuendani tena ule uchungu utakaokuwa unausikia ndio ishara ya yeye kumtoa moyoni jikakamue usirudi nyuma maana inaonyesha keshakuingia ndani ya moyo na ashakujua udhaifu wako
 
Miaka 21 bado hujakamilisha mchakato wa kukua- kibaiolojia.

Unatakiwa uwe chuo kikuu ukipigania shahada ya kwanza, chuo fulani hivi cha Diploma au unapambana kusaka pesa za kutosha....

Labda kwanza weka wazi hapa, kama huyo unayemuita mkeo, umefunga nae ndoa? Mna cheti cha ndoa?. .. kama mnacho basi fuata taratibu za kutatua mgogoro huo kama mlivyoelekezwa wakati wa kufunga ndoa.

Kama hamna cheti cha ndoa basi hayo mahusiano yanapaswa kufikia kikomo mara moja, vinginevyo utaishi kwa kujuta miaka yako yote.
sawa.
 
Niwe proud na wewe kuweza kumudu maisha ukiwa na umri mdogo ila kwa umri huo ungejipa muda kwanza kuanza kuishi na mwanamke. Kiasili wewe bado upo chini sana kijamii kuweza kummudu mwanamke, hapo ulitakiwa uwe unawatomba tu kwanza, no stringz, akili yako ikomae na iweze kuwamudu vyedi hawa viumbe.
Dah asee
 
Hapo dogo hakuna kuremba. Na bahati nzuri bado hamjajariwa kupata mtoto. Maana anaweza akawa wa kihindi.

Wewe fanya tu huo ushahidi wote ulioukuta unatosha kabisa kuachana nae. Vyote ulivyowahi kuvifuma kwenye simu ndio ushahidi wenyewe. Wewe mbwage sasa hivi kwa ushahidi huo huo.

Najua unampenda ndio maana unaona atasema sijui umemchoka. Hata akisema yote hayo baada ya kumuacha,wewe yapotezee. Mwisho wa siku tena sio nyingi mtakuwa mmesahauriana,kila mtu atakuwa anaendelea na mishe zake kawaida.

Yote hayo ni kwa ajili kuuponya moyo na maumivu ya baadae. Hayo unayoyapata sasa ni kidogo.

Nakuambiaje mbwage sasa hivi kwa ushahidi huo huo,kabla hamjaenda mbali. Akilalalama usijali. Endelea na hamsini zako
sawa mkuu
 
Katika maisha ya mahusiano ushauri Mtu haki kukoma na kujua jinsi ya kutawala hisia za mahusiano haya lazima yakupate ili ukamae na kuweza kuishi na hawa vioumbe wanaioitwa wanawake...hadi unakufa hutawaelewa la msingi ishi nao kwa busara na hekima kama walivyokushauri wanajf na kila mmoja amekupa uzoefu wake ni wewe kufanyia kazi anza kufanyia kazi alichokushauri LUKANKA ...muhumi kuzingatia kuwa pale utakapukuwa tayari kumuacha ukijajiridhisha kuwa hamuendani tena ule uchungu utakaokuwa unausikia ndio ishara ya yeye kumtoa moyoni jikakamue usirudi nyuma maana inaonyesha keshakuingia ndani ya moyo na ashakujua udhaifu wako
Dah sawa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom