Nahisi mke wangu anani-cheat, nifanye nini kumkamata?

Nahisi mke wangu anani-cheat, nifanye nini kumkamata?

Mtu kaseviwa Robat[emoji23][emoji23][emoji23].
Wote Hapo hamna akili.
Ndio kajiamini maana hua anaejua kabisa Simu yake Sina muda nayo kabisa, hata hivyo najikutaga tu naigusa Tena bila yeye kutegemea Wala kujua, Nafahamu Kuwa kma angejua Kuwa nafatiliaga Simu yake angeweza hata kusave kwa Jina la kike.
 
Unataka kumfumania ili iweje?
Utaweza kujimili?
Una plan gani baada ya hapo?

Mapenzi hayalazimishwi
Hata ushauriweje hapa maamuzi ya mwisho yapo mikononi mwako.

Amua vyema.
Kila la heri.
 
Unataka kumfumania ili iweje?
Utaweza kujimili?
Una plan gani baada ya hapo?

Mapenzi hayalazimishwi
Hata ushauriweje hapa maamuzi ya mwisho yapo mikononi mwako.

Amua vyema.
Kila la heri.
Kweli
 
Ndio kajiamini maana hua anaejua kabisa Simu yake Sina muda nayo kabisa, hata hivyo najikutaga tu naigusa Tena bila yeye kutegemea Wala kujua, Nafahamu Kuwa kma angejua Kuwa nafatiliaga Simu yake angeweza hata kusave kwa Jina la kike.
Tafuta maisha acha ujinga at 21yrs unalilia mapenzi ? Mzee Kama nyege zimekubana tafuta alternative coz kinachokusumbua ni nyege tu.
 
Tafuta maisha acha ujingaat 21yrs unalilia mapenzi ? Mzee Kama nyege zimekubana tafuta alternative coz kinachokusumbua ni nyege tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo kwenye badmood ila umenichekesha we jamaa dah! kweli nyege mbaya.
 
Unafumania ili iweje. Kama unampenda muweke kikao aache umalaya. Kama anazingua amezidi sana piga chini chap. Halafu kingine jua kwamba mwanamke kuonjwa ipo tu haikwepeki. Acha kutengeneza mazingira ya kumfuatilia
Kwamba wanawake wote walioolewa huonjwa?
 
For this, ni lazima nimpigie chini
umesema ni mkeo sio demu wako. maana yake kumpiga chini ni lazima awe amevuka mipaka. kwa maelezo yako huyo hajazidi kiwango 😂😂

Kaa naye chini mpe dukuduku lako na ushahidi kisha muulize kama bado anakuhitaji. Kama jibu ni ndiyo basi mwambie aachane na muhindi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom