Nikamkuta anaangalia Tamthilia Kumwambia Abandike maji ya kuoga akajibu Staki kumuulza kwann Anasema ningemtaarif kabla sjafika home.
to yeye tazama hayo maneno mekundu hapo, nahisi mleta mada hakutumia polite language, nilitarajia angesema naomba ubandike maji ya kuoga, huenda binti wa watu angeinuka, inaonekana mleta mada anatumia zaidi lugha ya kanda maalumu na huenda hiyo inamkwaza mwenzake.Afu sikuhiz mbona ni suala LA kawaida sana,mi nadhan tushauriane tu wadada tunapochepuka tusisahau majukumu yetu juu ya waume zetu,kama wao wafanyavyo wanachepuka na majukumu wanatimiza.Angebandika tu maji ya kuoga
[emoji28]Kweli asee hata huku tupo naye mbena jeuri kweli Afu hatabiriki siku akiamka vibaya utaoga matusi bila sababu
SijakuelewaSo umeshindwana na mmoja? Ndiyo umepata hitimisho?
Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku
Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia. Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea, Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka...www.jamiiforums.com
Kamuulize mleta uzi kama mkewe ni mbena
Labda waandishi wa nyuzi hizi wengi wanatokea mikoa ya Mbeya, Njombe, Kilimanjaro au ArushaSana hasa weekend hii sijui kwanini aiseee
Ugumu ndio huwa unaanzia hapa. Mwanamke akichepuka, anabadili direction ya tension yake kwa asilimia kadhaa, na kadri muda unavyokwenda anaweza badili kwa asilimia zote.Afu sikuhiz mbona ni suala LA kawaida sana,mi nadhan tushauriane tu wadada tunapochepuka tusisahau majukumu yetu juu ya waume zetu,kama wao wafanyavyo wanachepuka na majukumu wanatimiza.Angebandika tu maji ya kuoga
Sijamtongoza huyo bi kidudeKwa hiyo anataka kujifanya kidume kwa Bibi yake et?
Unakigezo gani cha kuniita mtotoI hate kuongelea upuuzi huo ukijua mie mtoto mwenzako
Ulichoandika kule juu inatia shaka kama u mtu mzima..peace
Habari ya jumapili mkuuUlichoandika kule juu inatia shaka kama u mtu mzima..peace
Kama maada inavyojieleza hapo juu, Nahisi wife anamegwa nje coz kuna mambo anayafanya humu ndani nahisi ipo hivyo.
Picha linaanza imefika stage kawa na kiburi nikimwambia kitu anaweza kukujibu staki ikiwa ni moja ya majukumu yake humu ndani so nashindwa kuelewa nini kinasababisha hadi awe hivi.
Kama jana nimefika home kama kawaida nimemkuta anaangalia tamthilia (Chizi Mapenzi, Star Swahili) nikamwambia anichemshie maji ya kuoga coz mimi ni muumini wa maji ya moto kutokana na hii kazi nnayoifanya mara nyingi nikirud Huwa nahis baridi sana na kulala bila kuoga siwezi, tuendelee na kibao.
Kumwambia anichemshie akakataa katukatu nikajiuliza huyu ana nini mbona yupo hivi ikiwa mchana aliniomba pesa kuna mazaga yake akanunue nilimpatia bila ubishi.
Mwanaume nikatoa sufuria nikawasha gesi nikainjika maji yalivyochemka nikaweka kwenye ndoo ili nikaoge cha ajabu ile namalzia kuoga huyuuu na yeye akataka kuoga sikumkatalia akaoga tukaingia ndani kula na msos ukalika bila tatzo.
>>> Inaendelea hapa
Comment imenisisimua, shikamoo dada[emoji23][emoji23]Acha kbs mzee baba ..mwambie mwanaume mwenzenu!...ila mostly ukiona mwanamke wako hatak sex na haumwi jua huna maajabu! Anaona michosho tu! Liwekeni hilo akilini! Mwanamume mjuzi hata kama uko period unajilaumu why niko period[emoji3062]
MarahabaaaComment imenisisimua, shikamoo dada[emoji23][emoji23]
Salama coordinator...habari ya wkndHabari ya jumapili mkuu
Habari ya weekend ipo poa tupo tu full baridi yaan nawaza ningekuwa hata Nyakagwe huko kwenye mgodi wa Bugomola naiba maknikia🤣🤣🤣Salama coordinator...habari ya wknd
Leo upo wapi usiniambe upo Lusahunga unawaza uende midaho au Nyamalagala 🏋️🏋️🏋️Salama coordinator...habari ya wknd