Nahisi mke wangu anachepuka

Bado hujafuzu kuoa tulia kwanza ukishaacha hizo asira za kuchapa mke ndo utakua umekau
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]umenifurahisha Sana hapo,kwenye jukumu lako la kuoa.
 
Wabena hatuna hizi mambo za kuchepuka siyo wanawake wala wanaume.


Wabena ni wahehe baadhi yao wanaoongoza Kwa unafiki na hila!

Ni watu wakujipendekeza sana hata Kwa gharama ya wengine huwa hawajali.

Anachosema mdomoni sicho anachomaanisha moyoni.

Halafu kwa ushirikina na uchawi usiulize!

Mbona kwenye Wabena wengi ndio kunaongoza kwa maambukizi ya virusi vya ukimwi?

Kwa mujibu wa Tacaids Njombe, Iringa wanaoongoza wengine wakifuatia.
 
Umewahi kuwa na Mwanamke wa kibena mpaka iseme wanawake wa kibena ni jeuri . Wanawake wakibena wanajulikana kama wanawake wavumilivu na watiifu



Thubutuu!

Wanajua ku-pretend sana!

Sio wa kuwachukulia poa hata kidogo.
 
Mara ya mwisho mi niliona Mtwara, lindi na Tanga zinaongoza. Takwimu zako ni za mwaka gani?

Pia tambua kwamba maeneo mengi ambayo maambukizi ni makubwa kuna shida ya elimu duni na elimu ya uzazi kwa ujumla.

SIfa ulizoandika za hila, uchawi na unafiki ni umechukua sifa za makabila mengine ya Njombe na kutugea wabena.

Hapo ndiyo umekosea.
 
Usije ukajichanganya eti ukaoa mhehe au mbena...ni wanafiqi wa olympics. Anaongea hiki moyoni ana kile
 
kama wewe ni mwanaume wa nyumba, unamtuma mkeo jambo, haumwi na hata angeumwa angetoa maelezo yenye heshima, kama anakukatalia macho makavu kabisa, siwezi kusema hapo kwamba anachepuka, ila ndoa yenu inahitaji imatengenezo. au wewe sio mwanaume halisi. nakushauri kaa naye kitako mkubaliane, pale ndani nani mwanaume na nani mwanamke, heshima ya namna gani inampasa mume na mke, majukumu ya mume na ya mke, na mkubaliane atakayevunja au kuvuka mpaka afanyweje ili kuepusha ugomvi utakaoleta madhara makubwa.
 
Sasa kama kuandika kisa kizima huwezi ni habari ya itaendelea, ni vipi usimegewe?
 
 
Mwanamke anakuwa na kiburi kama humpigi chuma sawasawa na wakati mwingine usipomfikisha kilele cha Kibo qnakuwa na hasira za ajabu ajabu.
Anza kumshugjulikia ipasavyo kwenye 6 kwa 6 utapna mabadiliko makubwa na utakuja kunishukuru
 
Hitaji lake ni maji ya moto ya kuoga na hachemshiwi....hahaaaaa wonders shall never end.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…