Nahisi mfanyakazi mwenzangu ana njama za kuniroga, naombeni ushauri wenu

Yani mpaka sasa nafanya kazi ya kumkwepa ila jamaa kila mda ananipigia simu aje!
Nahisi kifuatacho ataanza ziara za kushtukiza kwangu
🤣🤣🤣🤣 wewe unaonekana mwogamwoga sana, usije ikimbia tu nyumba, hivi unashindwa nini tu kukataa!!
 
Achana nae anataka akupige hela huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Whether huyo jamaa yako yuko sahihi ama la, ninakuamuru uende Kanisani. Ni amri, siyo ombi
 
mjomba angu alikuwa anatembea na fisi kwenye sanduku, tulimwogopa sana, kumbe alikuwa mbwa aina ya german shepherd alipewa na mishenari wa kizungu wakati anafanya kazi za ulinzi na shamba boy, kwa ujanja akamfungia ndani watu akawa anawazuga ni fisi.
Hahahaaa nimecheka sana..... ila watu wamekua wamumini wa ushirikina mnoo hata ukiwaambia ni mbwa watakataa watalazimisha ni fisi
Baadhi ya sisi waenda misikitini na makanisani nako siku hizi tunakutana na chàngamoto, wahubiri wetu wamekua watu wa kuutukuza, kuuhubiri, na kuupaisha uchawi zaidi ya Mungu. Utasikia baadhi ya Wachungaji na mashehe wakihubiri kuhusu uchawi na mashetani yanavyowafanya watu wasiwe matajiri tuu, yaani kutishiana tuu.... Unaenda kusali ukitoka huko unaanza kuwaza uchawi baadala kuwaza pepo ufalme wa Mungu
 
One big rule law. Usimkaribishe mfanyakazi mwenzako kwako. Por favor! من فضلك. S'il vous plaît
 

Wala usimsalimie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…