Carmel nimependa Avatar yako.
sugua magoti mbele za mungu hakuna kinachoshindikiana mbele zake, PRAISE THE LORD.
Wahenga wanasema mficha uchi hazai...
Nimejisikia mno upweke soo "nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado" nifanyeje?? I'm a girl with 28yrs.
Ukinipa ushauri wa busara nitashukuru sana...
Asanteni...

ila na juhudi binafsi zinatakiwa
Hello Jfs!!
Natumai muu wasima... ushauri wenu ulinisaidia weekend iliyopita ambapo ilikuwa sikukuu ya Maulidi nilijitahidi kutoka out kidogo thanks kwani nilikutana na akina....Masanilo/Fidel01/Pj /Bujibuji na wengineo kwa kweli imenipa mategemeo fulani...thanks
Wahenga wanasema mficha uchi hazai...
Nimejisikia mno upweke soo "nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado" nifanyeje?? I'm a girl with 28yrs.
Ukinipa ushauri wa busara nitashukuru sana...
Asanteni...
pamoja na mimi.jamani wewe Binti sasa kama hutoki nani atakuona
jaribu kwenda kanisani ..unaweza kutana nae ..sokoni .. jaribu kutoka na kina Fidel80,Nguli< Xpin oops married eeh ...Akili Kichwani hapao utapata rafiki ambaye hatimaye huwezi jua mungu kapanga nini
gud lucky
Ulificha ulifikiri unamkomoa nani, sasa umepata ulichokuwa unasubili ficha zaidiWahenga wanasema mficha uchi hazai...
Nimejisikia mno upweke soo "nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado" nifanyeje?? I'm a girl with 28yrs.
Ukinipa ushauri wa busara nitashukuru sana...
Asanteni...
Nimependa sana mbinu yako ya kutangaza kutafuta mwenzi,
iko very much advanced big up mwana mama.