Nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado nifanyeje...

Pole sana Endelea kuomba kwa bidii utampata tu akupendae na utampenda ..
Muda nao naona ..
 
Huwezi jua anatumia kigezo cha Bible.kwenye Bible hata uwe bibi kizee wewe ni binti tu( binti sayuni).
Na zaidi ya hapo mimi huwa naangalia sana tamthilia.Huwa naona wenzetu wazungu akiwa na mpenzi hawajafunga ndoa ni girlfrien/boyfriend hata kama wana 50 na kuendelea.

wazungu si wote walishadata kila mtu anaajua???????????????.................. lets be fair hakuna girl wa miaka 28!!!!!!!!
 
Jmani AK hivi wazungu na sisi waafrika nani kadata zaidi? sisi ndo tumechanganyikiwa,na ndio maana tunanuka umasikini.Kwa hiyo tukuballi tu wametuzidi.tukirudi kwenye binti kigezo chako ni nini? sometime huwa natumia physical appearance na kukuta mwenye miaka 20 choka mbaya ameshazeeka anaamkiwa shikamoo kibao .lakini mwenye miaka 40 bado bintii kabisa.
 
Jaman asanteni sana kwa ushauri wenu mpaka sasa hivi nimepata ahueni...
Thanks all mliochangia hii mada...sitafuti mume natafuta tuu rafiki mume ni majaliwa!!!nimekuwa mno mkimya sijui hii tabia ni kuzaliwa nayo au vipi kwa kweli kujichanganya si mpenzi sana ila itabidi nijitahidi, huwa napenda sana kuwa buzy ofisini nikirudi home nakua busy kuaangalia movie/kusoma novel...mitoko hua sipendelei...
 
jamani wewe Binti sasa kama hutoki nani atakuona
jaribu kwenda kanisani ..unaweza kutana nae ..sokoni .. jaribu kutoka na kina Fidel80,Nguli< Xpin oops married eeh ...Akili Kichwani hapao utapata rafiki ambaye hatimaye huwezi jua mungu kapanga nini
gud lucky
 
Wahenga wanasema mficha uchi hazai...
Nimejisikia mno upweke soo "nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado" nifanyeje?? I'm a girl with 28yrs.
Ukinipa ushauri wa busara nitashukuru sana...
Asanteni...

Umeshindikana huko uliko? endelea kujitunza umapepe kipindi hiki haufai
 
Sasa kama uko busy na ofis-home-movie Kina romeo utawapataje? Jitahidi bana usijecommit suicide kwa ajili ya upweke.
 
Nani kakwambia anatafuta mume? Kasema anatafuta mtu wa kumpenda tu. Anaweza kuwa kaolewa, mumewe yuko mbali, kwa hiyo yuko lonely anatafuta kampani! :) Shtuka!

heheeee masaki weee, ni kweli anatafuta wa kumpenda baada ya kujihisi mpweke! yawezekana tayari ana mume ambaye hana mapenzi/ au hana muda nae hivyo pamoja na kuwa naye lakini bado anahisi upweke, hata mie hiyo iliwahi kunitokea niko na mume na bado nikawa na-feel upweke fulani... he was soooooo bizzy chasing money! huh...
 
Jaman asanteni sana kwa ushauri wenu mpaka sasa hivi nimepata ahueni...
Thanks all mliochangia hii mada...sitafuti mume natafuta tuu rafiki mume ni majaliwa!!!nimekuwa mno mkimya sijui hii tabia ni kuzaliwa nayo au vipi kwa kweli kujichanganya si mpenzi sana ila itabidi nijitahidi, huwa napenda sana kuwa buzy ofisini nikirudi home nakua busy kuaangalia movie/kusoma novel...mitoko hua sipendelei...

Utakuwa umesoma masomo ya accounts na ulikuwa msongo na ulifaulu sana shuleni na hukuwa una muda wa kujipiga sopu sopu.
 
Jaman asanteni sana kwa ushauri wenu mpaka sasa hivi nimepata ahueni...
Thanks all mliochangia hii mada...sitafuti mume natafuta tuu rafiki mume ni majaliwa!!!nimekuwa mno mkimya sijui hii tabia ni kuzaliwa nayo au vipi kwa kweli kujichanganya si mpenzi sana ila itabidi nijitahidi, huwa napenda sana kuwa buzy ofisini nikirudi home nakua busy kuaangalia movie/kusoma novel...mitoko hua sipendelei...

Mpendwa katika bwana, njoo kanisani roho wa mungu atakujalia utapata mwenza wa kuwa naye...
 
Wahenga wanasema mficha uchi hazai...
Nimejisikia mno upweke soo "nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado" nifanyeje?? I'm a girl with 28yrs.
Ukinipa ushauri wa busara nitashukuru sana...
Asanteni...

Pole sana lakini usikate tamaa. Pia nakumba ukumbuke kwamba tuko 2010 na siyo mwaka 47 hivyo labda unakutana na wengi ambao kwa kiasi kikubwa wanatimiza requirements nyingi za yule umtakaye usisubiri wao wachangamke wewe unaweza kuashiria kwa namna moja au nyingine kwamba ungependa kuwa naye huyo unayemuona anafaa kama yuko available. Kila la heri.Mambo ya outings ni muhimu sana maana huko unaongeza uwezekano wa kukutana na mpenzio lakini avoid sehemu ambazo maCDs ni wengi mno.
 
Back
Top Bottom