tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 62
Wahenga wanasema mficha uchi hazai...
Nimejisikia mno upweke soo "nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado" nifanyeje?? I'm a girl with 28yrs.
Ukinipa ushauri wa busara nitashukuru sana...
Asanteni...
Mume mwema anatoka kwa MUNGU mwombe sana naye atakupatia. Lakini vile vile kumbuka wahenga walishasema kwamba UKICHAGUA SANA NAZI MWISHO UTACHAGUA KORONA. Mungu akubariki
Wahenga wanasema mficha uchi hazai...
Nimejisikia mno upweke soo "nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado" nifanyeje?? I'm a girl with 28yrs.
Ukinipa ushauri wa busara nitashukuru sana...
Asanteni...
sugua magoti mbele za mungu hakuna kinachoshindikiana mbele zake, PRAISE THE LORD.
Wahenga wanasema mficha uchi hazai...
Nimejisikia mno upweke soo "nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado" nifanyeje?? I'm a girl with 28yrs.
Ukinipa ushauri wa busara nitashukuru sana...
Asanteni...
We are well sisy, tuko bomba.Amen
btw hw r u n preta??? mis u cuties jamani!!!
Omba Mungu na jichanganye mahali ambapo unapenda upate mchumba. kama ni kanisani nenda kanisani, kama ni viwanja , jichanganye sana tu, all the best.
Huwezi jua anatumia kigezo cha Bible.kwenye Bible hata uwe bibi kizee wewe ni binti tu( binti sayuni).sahihisha hapo penye bold ili uwe fair................... mimi maisha yangu yote siijawahi kuoa a "gilr with 28 yrs old"!!!!!!!!!!!!!................ sema a "mama with 28 yrs old"............ naomba kuwasilisha..............