Nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado nifanyeje...

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
Wahenga wanasema mficha uchi hazai...
Nimejisikia mno upweke soo "nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado" nifanyeje?? I'm a girl with 28yrs.
Ukinipa ushauri wa busara nitashukuru sana...
Asanteni...
 
Umewahi kupenda kabla? Au ndio uko bize kutatafuta wa kumpenda kwa mara ya kwanza? Halafu mapenzi ya kweli yako ''very automatic'', wala hayapangwi!
 
Nimependa sana mbinu yako ya kutangaza kutafuta mwenzi,
iko very much advanced big up mwana mama.
 
sugua magoti mbele za mungu hakuna kinachoshindikiana mbele zake, PRAISE THE LORD.
 
Mume mwema anatoka kwa MUNGU mwombe sana naye atakupatia. Lakini vile vile kumbuka wahenga walishasema kwamba UKICHAGUA SANA NAZI MWISHO UTACHAGUA KORONA. Mungu akubariki
 
Mume mwema anatoka kwa MUNGU mwombe sana naye atakupatia. Lakini vile vile kumbuka wahenga walishasema kwamba UKICHAGUA SANA NAZI MWISHO UTACHAGUA KORONA. Mungu akubariki

Nani kakwambia anatafuta mume? Kasema anatafuta mtu wa kumpenda tu. Anaweza kuwa kaolewa, mumewe yuko mbali, kwa hiyo yuko lonely anatafuta kampani! :) Shtuka!
 
Hongera sana kama hujawahi kupenda au kupendwa.. Jitahidi sana kuushinda UJANA. MUNGU kwanza then MAPENZI baadae, utampata tu wa kufanana na wewe... MUNGU AKUTIE NGUVU ZAIDI.
 
Wahenga wanasema mficha uchi hazai...
Nimejisikia mno upweke soo "nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado" nifanyeje?? I'm a girl with 28yrs.
Ukinipa ushauri wa busara nitashukuru sana...
Asanteni...

What is your original JF ID if I may ask? Just being curious!!
 
Wahenga wanasema mficha uchi hazai...
Nimejisikia mno upweke soo "nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado" nifanyeje?? I'm a girl with 28yrs.
Ukinipa ushauri wa busara nitashukuru sana...
Asanteni...

sahihisha hapo penye bold ili uwe fair................... mimi maisha yangu yote siijawahi kuoa a "gilr with 28 yrs old"!!!!!!!!!!!!!................ sema a "mama with 28 yrs old"............ naomba kuwasilisha..............
 
Katika umri huo hujakutana na wakumpenda?? Usijifungie sana ndani, changanyika na vijana wezio kwenye shughuli mbalimbali ziwe kanisani/msikitini, kwenye michezo, kwenye masomo na hata majirani halafu jitunze mwili wako uwe msafi, mrembo watakuja wengi tu wenye interest na automatically utabahatisha wakumpenda. Pia omba mungu akuongoze katika hayo yote usijekutana na matapeli manake utaumia sana.
 
Miaka 28 hujachelewa bado, ila angalia sana style yako ya kutafuta usije ukapata palipochokwa!
 
inaonekana wewe sio mtu wa kujichanganya, lakini hujachelewa utapata mtu wa kumpenda zaidi omba Mungu usijeangukia kwa asiyefaa!
 
Omba Mungu na jichanganye mahali ambapo unapenda upate mchumba. kama ni kanisani nenda kanisani, kama ni viwanja , jichanganye sana tu, all the best.
 
Omba Mungu na jichanganye mahali ambapo unapenda upate mchumba. kama ni kanisani nenda kanisani, kama ni viwanja , jichanganye sana tu, all the best.

unamshauri vibaya, hao ndio hawatakiwi kanisani kabisa, tena ndi uwa wanaharibu vijana makanisani kwani wanakuwa hawana imani halisi bali wanaigiza kumwamini Mungu ili wapate wanachokitafuta.................. yeye aende tu huko viwanja sio kanisani.....................na asisahau kuchukua kondom kwa usalama wake......................
 
sahihisha hapo penye bold ili uwe fair................... mimi maisha yangu yote siijawahi kuoa a "gilr with 28 yrs old"!!!!!!!!!!!!!................ sema a "mama with 28 yrs old"............ naomba kuwasilisha..............
Huwezi jua anatumia kigezo cha Bible.kwenye Bible hata uwe bibi kizee wewe ni binti tu( binti sayuni).
Na zaidi ya hapo mimi huwa naangalia sana tamthilia.Huwa naona wenzetu wazungu akiwa na mpenzi hawajafunga ndoa ni girlfrien/boyfriend hata kama wana 50 na kuendelea.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom