Nahisi kumpenda my "Workmate"

Yani unampenda mke wa mtu !, it's shameful, kwahyo utaka kuwa mchepuko wake ,huyo Dada naye hajiheshimuu, ndyo maana mishahara haipandi kumbe kuna watu makazini mnatoka na wake za watu[emoji16] [emoji16]
 
Umeshajiuliza kwann amekuambia kaolewa?
 
mkuu utakuja kukojoa dagaa,mke wa mtu ni sumu
 
Utapendaje mke wamwenzako? Unauhakika akiachika kwa mumewe utaendelea kumpenda???

Acha kuzuga zuga hapa, humpendi wala nn ,sema unatafuta sababu za kuhalalisha kitu unachotaka kufanya . Km unampenda mwambie aendelee kua mwaminifu katika ndoa Yake naampende mumewe kwelikweli....... Nauache kumpa mazingira magumu .
 
Unakuta mume alisomesha na akaruhusu mkewe aende mbali fanya kazi makubaliano akiizoea atafute uhamisho then mke kaenda endekeza umalaya!..
 
Mkuu ni ushauri gani hasa unaoomba toka kwa wadau ?
Una mahusiano na mke wa mtu ambayo unaonekana umeishakolea
Jiulize ni nini mustakhabali wa mahusiano yenu
 
Kuacha Kumtendea Wema Siwezi, Nimemzoesha Hivyo, Imekuwa Ni Kawaida Sasa , Nikiacha ghafla tu Atajisikia Vibaya
 
Usijiingize kwenye mahusiano na mtu yoyote mwenye ndoa.
 
Mkuu ni ushauri gani hasa unaoomba toka kwa wadau ?
Una mahusiano na mke wa mtu ambayo unaonekana umeishakolea
Jiulize ni nini mustakhabali wa mahusiano yenu
Ni Kweli Nimekolea, Hata Yeye Pia kwa Upande Wake
 
Hadi mmekiss!!!!!! ndio unatulliza kitu gani tena?
 
Huyu jamaa anacho taka ni kupewa go ahead, mke wa mtu sumu bro epuka kama ukoma ni hatari sana...,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…