Nahisi kukosa simu yangu kizembe sana ushauri

Nahisi kukosa simu yangu kizembe sana ushauri

Naomba msaada wadau,
Nikikuwa na mazoea na dada mmoja hv alikuwa ni mgeni kwa mtaa wetu

Kama miezi miwili hivi tunafahamiana alikuwa ana fanya kaz, karibu na ofsn kwangu vyumba vimefatanaa, ni saloon

Mimi nilikuwa na simu Smart phone mbili,
Yeye alikuwa na simu ndogo, kila siku huwa anahuzuliaa kazini,

Simu yake ndogo ilikuwa inamsumbuaa sanaa!
Siku ya jumapili aliazma simu yangu nyngne ya ziada ni smart phone, kuwa anamawasliano ya muhimu siku hyo hvyoo simu yake inasumbuaa anaomba nimuazmee siku ya jumatatu hasubuh ananipa, nikamptiaa sababu nilijua atarud

Lakini ilivyofika siku ya Jumatatu hakuja kazin nikaona kimyaa mpk saa saba mchana nikaamua nimtaftee

Nilimtaftaa akasema amepata safar ya ghafraaa! Hvyoo ameondoka bila kutgmeaa, akseama simu bhas anipe tu hela nikamwambia sawa nipe iwe yako bhas pesa zenyew hana nikamwambiaa nitumie simu kwa bus hatumi,

Nikaamua kuwatafta ndugu zake mahara alipo fikia, alipo kuwa ana ishi nikawaelezeaa vyote wakasema safar hyo alipanga wala sio ghafra kama alivyokuambiaa ngoja tuwasliane nae tutakwambiaa, anaseamje ili tumalzee huu utata,

Ni leo tare 10 mwezi wa 8 ndio wamesema hvyoo, lakn mm sna iman kabsa,
Simu ni yangu list na kila kitu na miliki mimi na alikoenda ni mkoa mwengne wa jiran!

Nilikuwa na waza niendee police nika report..
Nikatoe maelezo maana hiyo ni aina ya uwizi au utapeli mtu anaazima simu Kisha anakimbia nayo!

Msaaada mawazo yenu michango yenu muhimu nasoma comment,

.
Usikute simu ni ya Bei ndogo tu.
Wanchie tu, wanadamu hukutana.
 
Ukimuazima kitu mwanamke halafu wewe ni mwanaume imekula kwako...

Wanawake wanapewa hawakopeshwi na wanaume
Alichofanya ni wizi wa kuaminika bila kujali jinsia yake.

Na hakuna kanuni ya kuwa mwanamke haazimwi bali anapewa tu. Kauli inayotumika mpaka kupewa kitu ndio muamuzi wa chochote unachofanyia hicho kitu baada ya hapo.

Ukisema naomba ukapewa hapo ukiondoka nacho ni sahihi ila ukishasema niazime na kutaja muda wa kurudisha, uungwana ni kurudisha kama ulivyoahidi. Kinyume na hapo ni wizi.

Baadhi ya wanawake wanapaswa waondowe dhana kuwa wao ni wa kupewa tu hata vile ambavyo hawajapewa.
 
Kekundu kekundu.......... Kekunduuuuu kekundukekunduuuu. Oohhh wajinga ndio waliwao. Alisikika mwanakwaya mmoja akiimba hivyo.

Ww ulikua unamtaka huyo demu na akakuona mshamba fulani wa kuja akaamua akilize simu umebaki kama zoba😂😂😂
 
Back
Top Bottom