Nahisi kukosa simu yangu kizembe sana ushauri

Nahisi kukosa simu yangu kizembe sana ushauri

imekula upande wako mkuu tena hao wadada wa saluni ni hatari sana siku hizi sijui wanajiamini nini.
 
Usikute hujamshika hata nyonyo 😂😂
Hebu mtafute kwanza akae kituoni wiki moja wamcharaze na bakora mbili tatu maafande wa kike!! Halafu hiyo simu umwachie !! Angalau atajifunza wakati mwingine akifanya michezo sehemu nyingine anaweza hata kuuawa !
 
Ongea nae au ndugu zake,uwa record kwa siri ili uwe ba ushahidi,usije geuziwa kibao kua ulimpa baada ya penz kukolea.
 
Tatizo lenu siku zote mnawaza kwenda kutoa ushuhuda kule kwenye uzi pendwa "rickboy",, ngoja wawaonyeshe kazi kwanza..pumbavu zenu.....
 
Jf,..... Huna tofauti na wanaopeleka wagonjwa mahututi muhimbili wakifa lawama

Siku nyingine uwahi kuleta jambo ushauriwe kabla ya kufanya
 
Back
Top Bottom