Nahisi kukata tamaa msaada wenu jamani

Kuwa na ugonjwa ni jambo moja, lakini hakuna kitu kinaumiza kama kutokuambiwa unasumbuliwa na kitu gani hospital.
Unapewa dawa na tiba mbalimbali lakini hauponi, hii inasababisha msongo wa mawazo kuliko hata ugonjwa wenyewe.

Jambo la kwanza, iambie nafsi/akili yako kwamba huo ugonjwa hata kama hospital hawajasema ni kitu gani lakini utapona.
Ukikata tamaa, hata utumie dawa gani, hautapona na hali inazidi kuwa ngumu zaidi.
assante mkuu kwa kunipa moyo
 
Nenda pale natural therapy mkabala na Hindumandal hope tatizo lako litaisha nilipata tatizo kama hilo likiambatana na ulimi kuvimba hadi nashindwa kule
 
Habari wakuu.
Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo yapata mwaka sasa bila mafanikio, ulimi wangu umekuwa unalika na kupona wenyewe upande mmoja, kuna kipindi nahisi kama kuna kitu mafano wa chakula kimekwama kooni na maumivu kwa mbali sana kooni, kifua na koo kuwaka moto, natokwa na vipele vidogo mkononi tumboni na kifuani, mwili kuchoma choma nimeenda hospital nyingi tu tangu mwaka jana naishiwa kupewa dawa tu bila kufanikiwa, nimekuwa na mawazo hadi nakosa raha kabisa naombeni ushauri wenu wakuu. Naambatanisha na picha hapo chini
Mkuu na mimi ninalo ilo tatizo


Lilinianza nahisi mara baada ya kwenda chumvini,,

Ukipata matibabu , utaleta kwenye huu uzi nijue

Maana na mimi bado napambana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes mkuu ni maramoja tu katika maisha yangu sikufanya tena naomba msaada wenu wakuu
dah! Mkuu hapa ndipo makosa yanapoanzia kutumia kiungo kisicho stahiki sikuhukumu penda kuogopa vitu vya namna hii sikutishi lkn hii tabia ni chanzo cha kansa ya koo
 
Back
Top Bottom