Nahisi kukata tamaa msaada wenu jamani

Kapepo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
717
1,000
Habari wakuu.
Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo yapata mwaka sasa bila mafanikio, ulimi wangu umekuwa unalika na kupona wenyewe upande mmoja,

kuna kipindi nahisi kama kuna kitu mafano wa chakula kimekwama kooni na maumivu kwa mbali sana kooni, kifua na koo kuwaka moto,

Natokwa na vipele vidogo mkononi tumboni na kifuani, mwili kuchoma choma nimeenda hospital nyingi tu tangu mwaka jana naishiwa kupewa dawa tu bila kufanikiwa,

Nimekuwa na mawazo hadi nakosa raha kabisa naombeni ushauri wenu wakuu. Naambatanisha na picha hapo chini
 
Attachments

Kapepo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
717
1,000
Kula sana machungwa au malimao pamoja na vidonge vya Vitamin C.
Kuna uwezekano una upungufu mkubwa wa Vitamin C.
Vidonge vya vitamin C nimetoka kumaliza weekend iliyopita tu, machungwa nimekula sana mkuu kwa siku si chini ya matano
 
okyo

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
2,006
2,000
Assante kaka tatizo tu tumbo kuwaka moto hadi kwenye koo
Basi kama unatatizo la tumbo kuwaka moto hiyo ndo sababu hupelekea mpaka usikie Koo lako kama kitu kinakukaba Na pia husababisha kama kamasi sababu ya hiyo gas hupanda toka tumboni mpaka kooni nenda Hosp ufanyiwe kipimo cha vidonda vya tumbo alafu pia umuone ENT wakucheki Koo ili wakupe dawa lakini ninaamini sio tatizo kubwa kama ambavyo unawaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Assante kaka kwa ushauri wako nalifanyia kazi soon inshallah
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom