Nahisi kubambikwa mimba peupe na huyu binti...

Nahisi kubambikwa mimba peupe na huyu binti...

Inawezekana ikawa yko pia inawezekana isiwe yako, chukua maamuzi sahihi
 
Kuna binti wa hapa kitaa jirani- njombe , ambaye nilitongoza na kukubali ombi langu.. But kuna siku nilimuona mshkaji flan anatokanae getto kwake but hilo siku judge.. Baada ya siku 2 binti akaja geto kwangu, nakumbuka siku hiyo niliamua nipige mambo afu tuachane, nilipiga bao la kwanz na pili kwa kondom, lakin la tatu sikutumia ndomu na pia hata ka bao kenyew kalikuwa kadogo sana.. Sasa leo hi demu ananambia kuwa ana mimba yangu.. Je pana ukweli hapo wakati kisayansi wanasema bao linalojaa size ya kijiko cha chakula ndio linaweza kutunga mimba?

NAHISI UNATAKA KUKIMBIA MIMBA KWEUPEE PEEEE. Acha ujinga mimba yako acha kujitetea kama hukuingia shule vizuri rudi tena darasani. Kama ulisoma kipindi kile elimu haujavurugwa basi soma sayansi ya darasa la sita mpaka la saba.
 
Lea mimba, mtoto akizaliwa ukapime DNA kujua kama ni wako kweli au ndio umesingiziwa.

Nakuomba usiikatae kwani ukiikana inawezekana akafanya abortion.

Pia kumbuka kuwa yai la mwanamke hutungwa na mbegu moja tu ya mwanaume ingawa hutoa mamilioni.
 
Du tu dem sikuhizi tunaangalia wapi pakupeleka tumbo kazana bisha hadi pale utakapoona ka toto nakakitoka tu kafanane na wewe. Kasiende kwa bibi wala babu wamezoweya kubambikia wanapojuwa lunaulaji na matumizi hawo
 
Embu ngoja kwnza: Bao la kwanza ulitumia condom, la pili ulitumia condom pia ila bao la tatu ukaamua kupiga bila condom.
Sasa kulikuwa na umuhimu gani kutumia condom tangu mwanzo?! Ni sababu gani ilikufanya ukaacha kutumia condom pamoja na matangazo yote ya STD's?!
Hiyo mimba ni yako wala usiikatae halafu uache ngono zembe kijana.
 
uuuupsi OMG.....
UmESOMEA SAYANSI WAPI???
i think wewe hauko kamili kiakili eti demu nilimwona na mshikaji afu wewe ukatia dude lako like ass wihout condom unatueleza uupuzi huu cha kwanza na kondomu cha pili tatu bila nyma kwa nyama utamuuuuu likuambia nani kuwa sperms hadi kijik ndo mimba???elewa kidogo tuu kwenye liquid na yupo danger zone lazima mimba

ushuri muoe dada wa watu..na kuanzia leo wewe baba kijacho
 
kweli wewe ni mbulula!!

Unahitaji elimu ya matumizi sahihi ya kondom. Umuhimu wa zana uko wapi, kama utatumia round mbili then round ya tatu unapiga kavu??

Kwa stahili hii, huu mkoa wa njombe utaendelea kuongoza kwa maambukizi ya vvu.

People wake up, hiv is out there and its real happening!!!

ukimwi siwezi pata mbona nililowanisha uvungu , afu nlin do kwa speed ndogo tena kwa muda mfupi..
 
Hahahaaaaa! Mkuu yaonesha unaogopa sana mimba kuliko H.I.V. Ebu kachek kwanza afya then mtoto akizaliwa kapime DNA utapata uhakika kama mtoto ni wako au la.
 
Mh sijui hata la kusema. Madhumuni ya kutumia condom kwako ilikua ni nini zebu funguka
 
nnamashaka si yangu hiyo mimba .. Bao la 3 halina nguvu ya kutunga mimba[/QUOTE
Ww baba kijacho acha kukwepa majukum.hiyo ni yako kabsa umesikia.alafu jalibu kupitia tena somo la sayans ili cku nyingine usiludie kufanya kosa.
 
Binafsi huwa nashauri mwanaume ni lazima ujue mzunguko halisi wa mkeo, maana akikudanganya utakuwa unajua.

Kama ungekuwa unafaham mzunguko wake usinge danganywa.

Lea mimba mkuu, kitanda hakizai haramu.
 
Back
Top Bottom