Nahisi kama mke wangu anachepuka nifanyeje?

Nahisi kama mke wangu anachepuka nifanyeje?

Kwakweli kwa haya maandishi yako tu yanaonyesha hili tukio nikweli na wala sio utunzi...

Huyo mwanamke wa jamaa yako anacheza michezo michafu hapo na haiitaji apate ushahidi mkubwa zaidi ya huo aliouona...
[emoji23][emoji23] davet ila wewe chizi ujue
 
Inaskitisha sana hali hiyo ikijitokeza kwenye ndoa inaumiza inawazisha inaboa mwambie ukweli kabla hawajamgonga
 
Na ye jamaa yako ajipime anatimiza wajibu wake vizur maeneo yote?au yupo yupo tu?
 
Anasema kua mara nyingi humuasa mke wake kua mbali na vijana kwani wanaweza kuhatarisha ndoa yao na humuambia atumie vizuri simu yake ila kwa kweli kila kukicha anaona habadiliki mawasiliano ya namba hizo huendelea.
Pole sana,najua ni wewe mwenyewe,huyo njemba namfahamu alikuwa ni mtu wa mke wako kabla hujamuoa,sasa hivi wanataka warudie tena ule mchezo wa zamani,na mkeo yupo tayari kabisa ila anavungavunga tu ikipatikana nafasi nzuri wataitumia.
Ushauri kwako,kwakuwa nakufahamu nikwambie ukweli huu,mtosheleze mtulize mkeo,hao atawasahau tu.
 
Wengi wa wanawake walioolewa na wanachepuka sababu yao kubwa ya kufanya hivo wanasema waume zao ama; hawawatoshelezi, au hawawajali kbs.

Nawanukuu miongoni mwao

"mume wangu hanikuni vizuri kama kipindi cha mwanzo mwanzo wa ndoa yetu"

"mume wangu hajali hisia zangu anajijali yy tu akishamaliza kubwaga mauji uji yake baas"

"mume wangu hanifanyi kama alivokuwa ananifanya mpenzi wangu wa zamani=haniridhishi"

"mume wangu hanigharamii kama alivyokuwa ananigharamia mpenzi wangu wa zamani"

Binadamu kazi tunayo
 
Pole sana kwa huyo jamaa. Hakuna kitu kibaya kama kuwa katika ndoa na mke mwenye tamaa. Mara zote hata huwa wanalalamika kuwa ndoa zao zina matatizo ili mtu apate nafasi ya kuingilia kama vile anataka kumfariji mhusika. Na wengi wao hujikuta wakiwa na uhusiano na rafiki zao wa karibu.

Hili ni janga kubwa kwa wanawake wa leo(siyo wote ingawa ni wengi kwa sasa).

Akichukua hatua mapema ataomoa ndoa yake.
 
Wengi wa wanawake walioolewa na wanachepuka sababu yao kubwa ya kufanya hivo wanasema waume zao ama; hawawatoshelezi, au hawawajali kbs.

Nawanukuu miongoni mwao

"mume wangu hanikuni vizuri kama kipindi cha mwanzo mwanzo wa ndoa yetu"

"mume wangu hajali hisia zangu anajijali yy tu akishamaliza kubwaga mauji uji yake baas"

"mume wangu hanifanyi kama alivokuwa ananifanya mpenzi wangu wa zamani=haniridhishi"

"mume wangu hanigharamii kama alivyokuwa ananigharamia mpenzi wangu wa zamani"

Binadamu kazi tunayo
Na kweli kazi tunayo na tutakufa nayo hawa viumbe wa kututia sie shida tuuu
 
Jee kumuambia ukweli si ataweza kuzibiti simu yake na kuiweka loki nyingi kuendelea kufanya kwa siri.?
Basi mkuu kama anaweza kuweka lock iliusijue kinachoendelea Basi piga chini ila unaweza kuhack wasap yake ukapata mawasiliano yote ya wasap hapo utakua umepeta ushaidi
 
Pole boss, ila huna la kufanya, ukianza kuchunguza itakuathiri, muhimu muulize, akisema kweli ufanye maamuzi magumu, akisema hapana muamini, ila siku ukimfunia basi utaamuwa muachane au la..ila wala siyo ajabu, wewe kuchapiwa siyo wa kwanza na hautakuwa wa mwisho, tembea kifua mbele baba, ndio uanaume huo..
 
Back
Top Bottom