Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah!! Unajua stori nyingi zinakujaga humu ndani mara nyingi inakuaga ni fasihi tu ila hii inanukia ukweli asilimia zoooote...Paragraph ya juu ulivyoiandika
Hahah!! Unajua stori nyingi zinakujaga humu ndani mara nyingi inakuaga ni fasihi tu ila hii inanukia ukweli asilimia zoooote...Paragraph ya juu ulivyoiandika
[emoji23][emoji23] na unajua kunusa si mchezoHahah!! Unajua stori nyingi zinakujaga humu ndani mara nyingi inakuaga ni fasihi tu ila hii inanukia ukweli asilimia zoooote...
Hahaha!! Acha tu[emoji23][emoji23] na unajua kunusa si mchezo
Hebu nipatie program niwezayo kufanya hivyoBasi mkuu kama anaweza kuweka lock iliusijue kinachoendelea Basi piga chini ila unaweza kuhack wasap yake ukapata mawasiliano yote ya wasap hapo utakua umepeta ushaidi
Baadhi ya Dada zetu hawana jema.Akiwa nje ya ndoa anatamani ndoa,wakipigwa chini wanalialia.Anasema kua mara nyingi humuasa mke wake kua mbali na vijana kwani wanaweza kuhatarisha ndoa yao na humuambia atumie vizuri simu yake ila kwa kweli kila kukicha anaona habadiliki mawasiliano ya namba hizo huendelea.
Dawa kubwa anayo mwanamke; hata kukifanyika juhudi gani kama huyo mwanamke hayupo tayari kubadilika, hakuna jipya.Sana sana ataendelea mwenyewe kutoa taarifa na mikakati ya kiusaliti.Wanaumiza kichwa sana hawa viumbe hasa ukiwafuatilia.Mkuu chukua ile number mpigie jamaa ,au dadasi nini anafanya mjini and panga kuonana naye kwa namna isiyo kuwa na shari au kwa namna hatoofia usalama wake ...then kutana nae onge nae ,muweke wazi muonye ,ili ukija mfanyia mbaya ajue afu ... ukija ata amishia nyeti zake usoni hasitoe lawama
Fact...!Mwanamke anayefanya mambo kwa siri ni hatari sana, mwambie achukue hatua sitahiki.
Uadilifu is what the lady lacks.Na ye jamaa yako ajipime anatimiza wajibu wake vizur maeneo yote?au yupo yupo tu?
Dawa kubwa anayo mwanamke; hata kukifanyika juhudi gani kama huyo mwanamke hayupo tayari kubadilika, hakuna jipya.Sana sana ataendelea mwenyewe kutoa taarifa na mikakati ya kiusaliti.Wanaumiza kichwa sana hawa viumbe hasa ukiwafuatilia.
Maamuzi anayo mwenyewe mwanaume mwenye huyo mwanamke. Aamue kuendelea nae au aamue kumpoteza.
Ndoa haiwezi kupimwa au kulipwa kwa usaliti.Tatizo ni wanandoa kuangalia na kutamani nje ya ndoa zao.Ni hatari sana.Wengi wa wanawake walioolewa na wanachepuka sababu yao kubwa ya kufanya hivo wanasema waume zao ama; hawawatoshelezi, au hawawajali kbs.
Nawanukuu miongoni mwao
"mume wangu hanikuni vizuri kama kipindi cha mwanzo mwanzo wa ndoa yetu"
"mume wangu hajali hisia zangu anajijali yy tu akishamaliza kubwaga mauji uji yake baas"
"mume wangu hanifanyi kama alivokuwa ananifanya mpenzi wangu wa zamani=haniridhishi"
"mume wangu hanigharamii kama alivyokuwa ananigharamia mpenzi wangu wa zamani"
Binadamu kazi tunayo
Umenena vema,but kikubwa ni dhamira.Kama dhamira yake ni kumkomoa mwanaume,bado ataendelea tu.Pole sana kwa huyo jamaa. Hakuna kitu kibaya kama kuwa katika ndoa na mke mwenye tamaa. Mara zote hata huwa wanalalamika kuwa ndoa zao zina matatizo ili mtu apate nafasi ya kuingilia kama vile anataka kumfariji mhusika. Na wengi wao hujikuta wakiwa na uhusiano na rafiki zao wa karibu.
Hili ni janga kubwa kwa wanawake wa leo(siyo wote ingawa ni wengi kwa sasa).
Akichukua hatua mapema ataomoa ndoa yake.
Sometimes wanawake ndo wanatoa mbinu kutokana na mienendo ya mume wake.Basi mkuu kama anaweza kuweka lock iliusijue kinachoendelea Basi piga chini ila unaweza kuhack wasap yake ukapata mawasiliano yote ya wasap hapo utakua umepeta ushaidi
FactHi sio hoja kwahao viumbe sasa kama anaona hakidhi siaondoke yeye aende kwa watao kidhi haja zake
Ukisoma word to word, utagundua kwamba nimesema maamuzi anayo mwenyewe kwa maana ya kuwa nae au kumpiga chini.Mke haachwi rahisi ivyo mkuu, jamaa yeye pia bado anahisi hana huwakika kama kweli jamaa anamega tunda ... mimi naona apambane kutunza mmea wake kuliko kuikata kabisa
Ni balaaNdoa haiwezi kupimwa au kulipwa kwa usaliti.Tatizo ni wanandoa kuangalia na kutamani nje ya ndoa zao.Ni hatari sana.
Ukisoma word to word, utagundua kwamba nimesema maamuzi anayo mwenyewe kwa maana ya kuwa nae au kumpiga chini.
Kawaida ya mashauri ya ndoa yaliyo mengi hutolewa options nyingi lakini mwisho wa siku wanandoa ndo huamua hatma yao.Wanawake walio wengi wanaongoza kwa kutokuwa waadilifu na hutokana na tamaa ambayo inatokana na wao kupenda sana KUDANGANYWA KULIKO KUAMBIWA UKWELI.WADANDIAJI WENGI HUTUMIA MANENO MAZURI YA UONGO.