Nahisi kama mke wangu anachepuka nifanyeje?

Nahisi kama mke wangu anachepuka nifanyeje?

Huyo si wake tena. Ushauri ni kumuacha ila asikurupuke. Aanze kujipanga kisaikolojia na kifizikia. Aanze kuandaa maisha bila ya huyo mwanamke kwa maana kama kuna watoto ajue atawalea vipi. Na kwa umri wa watoto kama anao inafaa yeye kukaa nao bila mama yao? Cha msingi watoto wawe priority kwake akikurupuka ataharibu mengi.
 
Kwakweli kwa haya maandishi yako tu yanaonyesha hili tukio nikweli na wala sio utunzi...

Huyo mwanamke wa jamaa yako anacheza michezo michafu hapo na haiitaji apate ushahidi mkubwa zaidi ya huo aliouona...
Ni yeye mwenyewe mleta post ndiye anamegewa na kwa harakaharaka atakuwa mwenyeji wa Dar
 
Wasiwasi wa mapenzi unaua!
Sio kila anayechat nae au kuongea nae basi anachepuka nae. Sema na mpenzi wako
 
Mke wa mtu anapendeza hana stress ya chakula, nguo wala kodi ya nyumba. Mume wake vyote snatimiza, mwili atapewa mzigo kwa voucher ya 10,000.
Ok kumbe....basi sawa nitalifanyia kazi....
 
Mleta mada katika maisha ya mtu amani ni kitu muhimu sana....hapa inaonyesha dhahiri kabisa kuwa huyu demu yuko njia panda kuliwa na anatafuta njia ya kumchepuka mumewe. Kama hajaliwa bado basi jamaa inabidi amuonye mapema na kama kishaliwa basi aachane naye tu, mwanamke mchepukaji si mtu wa kuishi naye kamwe.
 
Wasiwasi wa mapenzi unaua!
Sio kila anayechat nae au kuongea nae basi anachepuka nae. Sema na mpenzi wako
Kuna charting kichefu chefu ndg yng acha tu waweza pasua cm!
 
Mwambie ajiweke sawa tu kisaikolojia, kuibiwa ni jambo la kawaida asijipe stress
 
Hadi hapo anaibiwa na hadi wanapeana zawadi ujue kashapigiwa MUHIMU KUMKANYA NA ACHUKUE HUZO NAMBA AMHOJI ASEME KUHUSU HIZO NAMBA NA UHUSIANO PIA AWAONYE HAO JAMAA WAKIENDELEA SS ACHUKUE HATUA
 
Back
Top Bottom