Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,645
ntajaribu mdodosa mkuu maana nahisi kabisa ni wangu
Pia usisahau kuleta mrejesho humu mkuu
ntajaribu mdodosa mkuu maana nahisi kabisa ni wangu
Kwetu wanasema ukilima shamba la mtu huna haki ya KUDAI mazao ...wewe ulikuwa kibarua tu...na ujira wako ni ile raha au CHOCHOTE ..na Zaidi Wazee wakasema Kitanda Hakizai haramu...
Hata ukimuona mtoto anafanana nawe ..Huyo ni wa mwenzio mwenye shamba ...unless MWANAMKE angekua Hana mume..ungekuwa na haki ya KUDAI mtoto Kama ungekuwa kampa baba mwingine..
SaalaaleeeHeeh kumbe unazalisha mbegu Kali hivyo?? Siku hizi hata kumpata wa kukupa mimba ni kazi kubwa so wanawake wenye maisha yao ndo hutumia hyo trick
ntajaribu mdodosa mkuu maana nahisi kabisa ni wangu
Your hypothesis are likely be true. Meet her and do the right thing to her marriage." Fruits".ilikuwa kijiweni before kupata mtoto alikuwa kaolewa 3 yrs ila hakuwa na mtoto wakadai ni tasa but after kupata mtoto (ukumbuke hapa nilikuwa mafunzoni ) hadi leo nimerudi mwaka wa 4 hana mtoto mwingine ndo wanadai ana kizazi cha mbali nae anakuja na program yake ya safari yetu kama mwanzo kwa ahadi nono, hili linanifanya niwaze anataka mimba japo sina uhakika mkuu
Mkuu unasema siku moja ulikaa ''kijiweni'' ukasikia wambea wanamteta huyo dada kwamba hazai? Sijui ana kizazi cha mbali? Sijui sijakuelewa vizuri pale juu? Ulisema umesikia kijiweni au kijijini kwao? Ha ha ha ha
Kwetu wanasema ukilima shamba la mtu huna haki ya KUDAI mazao ...wewe ulikuwa kibarua tu...na ujira wako ni ile raha au CHOCHOTE ..na Zaidi Wazee wakasema Kitanda Hakizai haramu...
Hata ukimuona mtoto anafanana nawe ..Huyo ni wa mwenzio mwenye shamba ...unless MWANAMKE angekua Hana mume..ungekuwa na haki ya KUDAI mtoto Kama ungekuwa kampa baba mwingine..
Story yako haieleweki,
Kijiweni kwenu ina maana mnaishi mtaa mmoja alf usimjue mtoto wake?
Zipompa pompa.zipompelee mpampapaa.!! Acha fiksi we dogo si umemaliza mafunzo? Katumie vyema ujuzi wako stori za vijiweni weka mbali kwa maendeleo yako.
Story yako haieleweki,
Kijiweni kwenu ina maana mnaishi mtaa mmoja alf usimjue mtoto wake?
hahaahahaha ila hii kesi kidogo tofauti mkuuwe potezea tu nenda kamgegede tu. kwan ni seemu ngapi umepiga nyama kwa nyama halaf hujaulizia kama umeacha mtoto. au mnipe mimi ongea nae alafu uje pm unipe namba yake atafurai mwenyewe maana mtoto atapata na raha juu