Nahisi huyu mtoto ni wangu

Nahisi huyu mtoto ni wangu

ilikuwa kijiweni before kupata mtoto alikuwa kaolewa 3 yrs ila hakuwa na mtoto wakadai ni tasa but after kupata mtoto (ukumbuke hapa nilikuwa mafunzoni ) hadi leo nimerudi mwaka wa 4 hana mtoto mwingine ndo wanadai ana kizazi cha mbali nae anakuja na program yake ya safari yetu kama mwanzo kwa ahadi nono, hili linanifanya niwaze anataka mimba japo sina uhakika mkuu

Kwahyo hata kama unafanya nyama kwa nyama unakojoa ndani??
 
kubali kukutana naye umsikilize atakuambia nn pia kuwa makini kwani mke wa mtu ni sumu usije ukanogewa ikaja kuwa shida kwako kwa mtazamo wangu na ushauri wangu
 
kubali kukutana naye umsikilize atakuambia nn pia kuwa makini kwani mke wa mtu ni sumu usije ukanogewa ikaja kuwa shida kwako kwa mtazamo wangu na ushauri wangu
yeye yuko moja kwa moja anataka mtanange kama mwanzo, tahadhari muhimu ndo maana anapenda mechi ifanyikie mkoa tofauti kwa gharama zake
 
Uwezi elewa mybe mume aliyenaye analitambua hilo tatizo lke na kjamwambia mke tafuta mbegu popote salama ila nisimfahm nk mwekaji na iwe mbegu only majukumu ya malezi hayamuhusu. mwadhani wagumba ni wanawake tu! hata wanaume wapo na wengi wa wanaume hawapendi itambulike nje hivyo anamalizana na mkewe kama mke kalifaham
unaipa kitu kipya mjomba hili lawezekena pia
 
Duuuuu yaan nimesoma post wanaojibu nimtihan kweli dunia imekwisha kabisaaaa kaka mitihani hiiyo kila mtu humkuta katika hii dunia hakuna kitu kikubwa kama kupoteza damu yako mwenyewe pasipo kuijua hatima yake mimi nakushauri acha kabisa ni mke wa mtu na kama tasa yaani mume wake hana uwezo pia muache mungu ndiye mjuzi wa kila kitu brother kibaya km kweli huyo mtoto wako huoni unapoteza damu yako na kutoitendea haki usijiumize nafsi yako unajidanganya ww lakini mungu humdanganyi leav her alone

mmmmh! yaani wewe umependikiza wazo jipya, ila hajawahi nambia kama ni wangu mi nahisi kulingana na mazingira. itabidi nizungumze nae hata akiwa wangu naanzaje hapo mkuu
 
Kaka zipompa wewe ndiye mwamuzi mpaka hapo ushaelewa kuwa huyo dada anakutumia katika kuifanya ndoa yake iwe na amani na furaha maana tunaamini watoto ni furaha katika nyumba . Kama nafsi yako haipigi kelele unaweza kumfanyia tena kwa mara ya pili kwakuwa pia watoto wana uhakika wa malezi bora
Lakini ni vyema ukaongea nae nae akawa muwazi kwako ili wewe uwe na nguvu ya maamuzi ujue kama jamaa yake amehiari au yeye anafanya siri maana hakuna siri katika dunia hii

asante, ntazungumza nae ili nijue kama ni siri au kuna makubalianoo flani na mme wake, maana yote yawezekana
 
we mwanaume ni mlaini eeeh yani kukupima tu humjui ukafungua na zipu
mkuu mbona nimekuwa wazi kuwa nilipata mda wa kufahamiana nae na kuna kipindi kapima na kunionesha majibu yake (kabla ya kunambia nia yake )
 
kwanza miaka 4 imepita we hauna comitment na mwanamke?hadi ukalale namwanamke wa mtu??!! dah halafu huyo mwanamke bora awe muwazi ili ujue na kuamua kuufanya ufuska huo
nimelala nae miaka 4 nyuma, kipindi naenda kwenye mafunzo kifupi sikuwa hata sasa sina makubaliano na mtu sema huhimu awe wazi nijue
 
Nenda kwake mda wa kazi jifanye unaulizia kitu then utamuona mtoto. Damu nzito kuliko maji utamjua tu na yeye atakujua tu
 
Bwana Shamba endelea kumwaga mbegu. Ila angalia usimwage kwenye mchanga au miba. ziweke kwenye udongo mzuri usiohitaji maji mengi. nadhani umenielewa
 
Back
Top Bottom