Nahisi huyu mtoto ni wangu

Nahisi huyu mtoto ni wangu

Achana na huyo mtoto...
Awe au asiwe wako... achana naye
 
chunguza mkuu kisha ikibainika kweli sasa wewe mshtaki tu
 
Kumpima mtu HIV bila makubaliano ni kuvunja kanuni za kitabibu.
 
Mkubarie hiyo Safari wala usiwe na wasiwasi maswali yote uliyouliza hapa yeye ndio atakupatia majibu.
Alafu ukifika huko hakikisha anasimamia kucha kabisa.
 
Nikimwomba nimwone mwanae hataki, ila kaniambia kama ntakubali kuwa na safari nae atanipa zawadi kubwa ila mimi nahisi huyu mwanae ni damu yangu, na hapa anataka mtoto wa pili. sina uhakika ila nahisi tu naomba mnisaidie niko sahihi au mawazo tu.
Vipi mrejesho hapa?
 
Back
Top Bottom