Nahisi huyu mtoto ni wangu

Nahisi huyu mtoto ni wangu

hahaahahaha ila hii kesi kidogo tofauti mkuu

kwan leo nkatoka hapa kwa mtogole nikaenda simiyu kikazi nikatomba pale kilevi nyama kwa nyama kumbe nimeacha mtoto ntajua vipi. ndo maana nkasema amnipe mimi wanifunge macho hata nisimuone mradi nile tunda
 
Kwa hiyo ulienda mtaani kwao au hicho kijiwe ni cha mtaani kwenu?
Af vijiweni kwenu huwa mnaongea mpk vizazi vya watu na umbali wake?
Aseee mna qaaaazi!
nilikuwa kijiwe maeneo ya mtaani kwake, hakukuwa na mada ya kumjadili mtu ila kutokana kidogo na maisha yake kuwa poa na akapita ana drive ndo jamaa mmoja akawa kama anamwonea huruma kwa kusema ana kiuwezo kidogo ila watoto ndo shida, kwa iyo hakukuwa na kujadili vizazi ilikuja automatical.
 
Dah dunia ina mengi. Kwahiyo wewe ndo umekuwa wa kuweka mbegu, wapalilie wengine! Ila huyo dada hiyo sisio 7oln.angeongea na mumewe watatue tatiyw6 kwa njia ssahihi
 
Mmmmh! Pole na hongera damu yako hiyo
 
Naomba mnisaidie katika hili.
Miaka 4 nyuma nilichaguliwa kujiunga na mafunzo fulani, moja ya masharti hayo yalikuwa kupima kundi la damu na magonjwa mengine.

Basi nikaamua kukamilisha mapema, nkaenda hospital kwa ajili ya kuchukua vipimo, muhudumu niliemkuta alikuwa mdada japo kwangu alikuwa mkubwa ila alikuwa kama na miaka 30 ivi.

Kanichukua vipimo vyote na akanambia nisubili majibu, nusu saa baadae kanipatia majibu huku ana furaha na kunipongeza sana mi sikufahamu kwa nini anafurahi ila katika kunipa majibu akaniomba namba yangu. nkampatia maana alinambia anataka nimfahamishe juu ya upatikanaji wa fomu nilizoenda kujaza.

Baada ya kama siku 3 tukawasilina, tukapanga sehemu ya kuonana na ikawa ivo. alicho nambia sasa kwamba siku ile alinipima HIV na kunikuta salama( ikumbukwe HIV haikuwa moja ya masharti ya medical examination) basi nami nkafurahi ila sikujua lengo lake baada ya hapo tukawa na mawasiliano ya karibu, basi nikamjulisha juu ya safari yangu, akanambia ataomba ruhusa tuongozane. ila siku ya safari akapanga tar. yake tofauti na yangu sikujua sababu nami nkamkubalia nikajivuta vuta hadi tarehe iyo.

Tulikutana nje ya mkoa tukashinda na kulala pamoja siku 3 ila alisisitiza mchezo wa nyama kwa nyama kwa madai wote ni wazima (alisha wahi kupima na kunionesha) basi nami sikuwa na shaka.

Baada ya hapo tuliendelea kuwa na mawasiliano kama miezi 2 (ndani ya miezi hii alikuwa akinishukuru sana na kuntumia pesa akinambia nimemwokoa ila sikuwahi kujua ni nini ana maanisha ) mara yakakatika ghafla sikujua tatizo ni nini mi nkaendelea na mafunzo yangu.

Baada ya mafunzo yangu (miaka 3) nkarudi nyumbani nka bahatika kuonana tukawa na mawasiliano ila haikuwa ya karibu sana maana alikuwa akinambia mmewe ana wivu nami sikuwa na tatizo. ila mwezi jana kani SMS kama kuna uwezekeno wa kufanya safari kama ya siku ile sijamjibu,

Hili lina nipa mawazo maana niliwahi kaa kijiweni wakawa wanasema hazai (hapa alikuwa kwenye ndoa kwa miaka 3), sasa wanassema ana kizazi cha mbali ( miaka 4 tangu azaNikimwomba nimwone mwanae hataki, ila kaniambia kama ntakubali kuwa na safari nae atanipa zawadi kubwa ila mimi nahisi huyu mwanae ni damu yangu, na hapa anataka mtoto wa pili. sina uhakika ila nahisi tu naomba mnisaidie niko sahihi au mawazo tu.

100% mtoto ni wako ila ndio hivyo tena. mbegu hainyimwagi na Mzawadie bhana mwingne. Hapo wana watalelewa vema nk. Msitiri mtoto wa mwenzio.
 
Dah dunia ina mengi. Kwahiyo wewe ndo umekuwa wa kuweka mbegu, wapalilie wengine! Ila huyo dada hiyo sisio 7oln.angeongea na mumewe watatue tatiyw6 kwa njia ssahihi

Uwezi elewa mybe mume aliyenaye analitambua hilo tatizo lke na kjamwambia mke tafuta mbegu popote salama ila nisimfahm nk mwekaji na iwe mbegu only majukumu ya malezi hayamuhusu. mwadhani wagumba ni wanawake tu! hata wanaume wapo na wengi wa wanaume hawapendi itambulike nje hivyo anamalizana na mkewe kama mke kalifaham
 
Kaka zipompa wewe ndiye mwamuzi mpaka hapo ushaelewa kuwa huyo dada anakutumia katika kuifanya ndoa yake iwe na amani na furaha maana tunaamini watoto ni furaha katika nyumba . Kama nafsi yako haipigi kelele unaweza kumfanyia tena kwa mara ya pili kwakuwa pia watoto wana uhakika wa malezi bora
Lakini ni vyema ukaongea nae nae akawa muwazi kwako ili wewe uwe na nguvu ya maamuzi ujue kama jamaa yake amehiari au yeye anafanya siri maana hakuna siri katika dunia hii
 
Last edited by a moderator:
msaidie tu mwenzio ili watoto wote wawe na baba mmoja
 
Duuuuu yaan nimesoma post wanaojibu nimtihan kweli dunia imekwisha kabisaaaa kaka mitihani hiiyo kila mtu humkuta katika hii dunia hakuna kitu kikubwa kama kupoteza damu yako mwenyewe pasipo kuijua hatima yake mimi nakushauri acha kabisa ni mke wa mtu na kama tasa yaani mume wake hana uwezo pia muache mungu ndiye mjuzi wa kila kitu brother kibaya km kweli huyo mtoto wako huoni unapoteza damu yako na kutoitendea haki usijiumize nafsi yako unajidanganya ww lakini mungu humdanganyi leav her alone

Tafadhali
 
Mpe sharti, hutaweza kusafiri hadi aje muonane yeye na mtoto wake na akueleze why alikata mawasiliano na kwanini iwe sasa?


ntajaribu mdodosa mkuu maana nahisi kabisa ni wangu
 
kwanza miaka 4 imepita we hauna comitment na mwanamke?hadi ukalale namwanamke wa mtu??!! dah halafu huyo mwanamke bora awe muwazi ili ujue na kuamua kuufanya ufuska huo
 
mawazo yako tu mkuu wala haupo sahihi ata kdogo.

Naomba mnisaidie katika hili.
Miaka 4 nyuma nilichaguliwa kujiunga na mafunzo fulani, moja ya masharti hayo yalikuwa kupima kundi la damu na magonjwa mengine.

Basi nikaamua kukamilisha mapema, nkaenda hospital kwa ajili ya kuchukua vipimo, muhudumu niliemkuta alikuwa mdada japo kwangu alikuwa mkubwa ila alikuwa kama na miaka 30 ivi.

Kanichukua vipimo vyote na akanambia nisubili majibu, nusu saa baadae kanipatia majibu huku ana furaha na kunipongeza sana mi sikufahamu kwa nini anafurahi ila katika kunipa majibu akaniomba namba yangu. nkampatia maana alinambia anataka nimfahamishe juu ya upatikanaji wa fomu nilizoenda kujaza.

Baada ya kama siku 3 tukawasilina, tukapanga sehemu ya kuonana na ikawa ivo. alicho nambia sasa kwamba siku ile alinipima HIV na kunikuta salama( ikumbukwe HIV haikuwa moja ya masharti ya medical examination) basi nami nkafurahi ila sikujua lengo lake baada ya hapo tukawa na mawasiliano ya karibu, basi nikamjulisha juu ya safari yangu, akanambia ataomba ruhusa tuongozane. ila siku ya safari akapanga tar. yake tofauti na yangu sikujua sababu nami nkamkubalia nikajivuta vuta hadi tarehe iyo.

Tulikutana nje ya mkoa tukashinda na kulala pamoja siku 3 ila alisisitiza mchezo wa nyama kwa nyama kwa madai wote ni wazima (alisha wahi kupima na kunionesha) basi nami sikuwa na shaka.

Baada ya hapo tuliendelea kuwa na mawasiliano kama miezi 2 (ndani ya miezi hii alikuwa akinishukuru sana na kuntumia pesa akinambia nimemwokoa ila sikuwahi kujua ni nini ana maanisha ) mara yakakatika ghafla sikujua tatizo ni nini mi nkaendelea na mafunzo yangu.

Baada ya mafunzo yangu (miaka 3) nkarudi nyumbani nka bahatika kuonana tukawa na mawasiliano ila haikuwa ya karibu sana maana alikuwa akinambia mmewe ana wivu nami sikuwa na tatizo. ila mwezi jana kani SMS kama kuna uwezekeno wa kufanya safari kama ya siku ile sijamjibu,

Hili lina nipa mawazo maana niliwahi kaa kijiweni wakawa wanasema hazai (hapa alikuwa kwenye ndoa kwa miaka 3), sasa wanassema ana kizazi cha mbali ( miaka 4 tangu azae).

Nikimwomba nimwone mwanae hataki, ila kaniambia kama ntakubali kuwa na safari nae atanipa zawadi kubwa ila mimi nahisi huyu mwanae ni damu yangu, na hapa anataka mtoto wa pili. sina uhakika ila nahisi tu naomba mnisaidie niko sahihi au mawazo tu.
 
Back
Top Bottom