Nahisi hili ndio jaribio la kwanza kwenye NDOA yangu!

safi sana ulivomwambia na aache uo upuuzi

mie wangu kutwa kuniletea habari za dada yake ana hali ngumu tumsaidie nimemsaidia vya kutosha nikamwambia hata mimi nina ndugu kama milion ivi wote wana hali ngumu
Hahahaa hii kauli sidhani kama mna maelewano mazuri humo ndani. Atakuwa anakuona kama huna mapenzi ya dhati. Hawapendi kabisa kusikia kauli kama hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa hii kauli sidhani kama mna maelewano mazuri humo ndani. Atakuwa anakuona kama huna mapenzi ya dhati. Hawapendi kabisa kusikia kauli kama hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
maelewano yapo ivo ivo si unajua ndoano na nilimwambia don't try to be a hero kila mtu apambane na hali yake, of course kama mtu ana shida anasaidiwa lakin sio katika hali kama hii yaani mume wa dada yake pesa zake ni pombe na wanawake halafu zikiisha ndio aje kutulilia sisi anateswa ndio hapo my wife kutwa mawazo na nguvu zetu zote kuzielekeza kumsaidia dada yake
 
Tafiti inaonyesha Wanaume wengi wa Dar wanapenda kulelewa.........


Inawezekana huyo dada wa mkeo ndio kila kitu kwenu, inawezekana pia ishi yenu hapo mjini inamtegemea kwa % kubwa . ....asingethubuthu kumtuma mkeo kwenda mkoani bila kukushirikisha,

Kulalamika Jf si solution. .. km ninachofikiri ni kweli basi jitahidi kubadilika , anza kukimbiza pesa zaidi,

Kumbuka maisha ya msingi kiuno hayana heshima..... kesho utatumwa wewe


Weekend njema



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza hii ndoa ndio ina miezi 9,
Sasa huyu mwanamke ana dada yake sijui ana biashara za vitu gani anavifuataga huko mkoani nakuja kuviuza dar.

Sasa toka jana ananiambia eti dada amebanwa kwa hiyo ameniomba nimfuatie biashara zake mkoani narudi baada ya siku 2!

Aisee, nikichek mazingira yenyewe anayoenda siyajui,!
Nmemwambia usirudie tena kuniambia huu upuuzi, kama ni undugu na ufe tu kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka aende kupakuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujapata hata robo ya jaribio,. Subiri majaribu yenyewe yanakuja. Mpaka ufike 10 years in marriage utakuja kutusimulia mengi
 
Safi kwanza huyo dadake msexnge sana ,mke aache kukaa na mumewe aende kwenye pumba ,mwambie shemeji ameleta dharau sana afu mwambie hukutegemea
 
Back
Top Bottom