Nahisi hili ndio jaribio la kwanza kwenye NDOA yangu!

Kwanza hii ndoa ndio ina miezi 9,
Sasa huyu mwanamke ana dada yake sijui ana biashara za vitu gani anavifuataga huko mkoani nakuja kuviuza dar.

Sasa toka jana ananiambia eti dada amebanwa kwa hiyo ameniomba nimfuatie biashara zake mkoani narudi baada ya siku 2!

Aisee, nikichek mazingira yenyewe anayoenda siyajui,!
Nmemwambia usirudie tena kuniambia huu upuuzi, kama ni undugu na ufe tu kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungemwambia tu huna muda umebanwa na kazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naona hizo ni insecurities(sijui kiswahili chake sahihi) tu, jiamini na muache huru mkeo, akitaka kufanya hicho unchokihofia atakifanya tu. Hawachungwi hao.
 
Back
Top Bottom