okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,631
Hello guys,
Nadhani kampuni ya Bonite inafanya a very lucrative & profitable business kuliko kampuni za kuchimba madini alizo Nazo reginald mengi bcoz
1) Ukienda Bonite, kwa waliofika huko wanafahamu, kila siku iendayo kwa Mungu, haijalishi ni kipindi gani cha mwaka, lazma zitoke scania za bonite zinazopeleka soda za jamii ya cocacola mikoani (arusha singida na manyara) which means demand ya soda iko juu sana, bado fuso ndogo zinazosambaza soda Kilimanjaro..pia maji ya Kilimanjaro yanauzika mikoa yote Tanzania na demand yake iko juu.hata hii kwenye kitabu chake aliliongelea alisema kuwa financial returns za Bonite ni huge
2) media assets zake kama ITV eatv pia zinamwingizia fedha, lkn haziingizi fedha nyingi kama Bonite..hata hili kwenye kitabu chake aliliongelea.kwa kusema biashara ya vyombo vya habari haina faida sana..
3) Hata biashara zake za kuchimba dhahabu sidhan kama zinamwingizia pesa nyingi kuliko bonite
Kwa sisi wajasiriamali we can learn a thing or two about bizness kwenye biashara za huyu mzee