Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 326
- 627
- Thread starter
- #61
Nyie acheni tu najua haya yanawapata wengi tu hahahhahaha


mi nimejitia kama mfano



mi nimejitia kama mfano


mi nimejitia kama mfanoHahahahahahaha daaaah!kwa story hyo inaonyesha ww ndio unamtaka kimapenzi
TeeenaaaWewe ndiye unaemmendea nduguyo.Uandishi wako tu





sa itakuajeeee mi sahv staki kumuonaMi nimuandishi tu mzuriWewe ndiye unaemmendea nduguyo.Uandishi wako tu





Duuuuh mazeee si kamekuja kengine tena sahiiiiii kakali kuliko huyu cousin afu sasa haka ni katoto ka cousin sasaaaaaHahahahahahaha daaaah!



Hii furaha uliyonayo ungeing'ang'ania....ukimtia mimba utakuja tena huku.Kichwa cha chini ni kigeugeu sanaDuuuuh mazeee si kamekuja kengine tena sahiiiiii kakali kuliko huyu cousin afu sasa haka ni katoto ka cousin sasaaaaa![]()
We dada wewe nisameheHii furaha uliyonayo ungeing'ang'ania....ukimtia mimba utakuja tena huku.Kichwa cha chini ni kigeugeu sana


Sure am telling u,hata ukimwi ndo ivoivo...umepata mtu moyo unasita kusex nae bila ndom kichwa cha chini kinagoma kinataka kikaone live kizazi kilivyoumbwa.Ndugu yanguu! Baadae ndo utasikia afu moyo uligoma kabisa yaan.LATE!!!We dada wewe nisamehe![]()
We dada uje PM uni dm namba yako ya whatsaap mimi kijana damu inachemka nimeandika hapa natambua wazi nitakua criticized so nataka kukuuliza vitu vingi zaidi whatsaaapSure am telling u,hata ukimwi ndo ivoivo...umepata mtu moyo unasita kusex nae bila ndom kichwa cha chini kinagoma kinataka kikaone live kizazi kilivyoumbwa.Ndugu yanguu! Baadae ndo utasikia afu moyo uligoma kabisa yaan.LATE!!!
Sawa mkuuWe dada uje PM uni dm namba yako ya whatsaap mimi kijana damu inachemka nimeandika hapa natambua wazi nitakua criticized so nataka kukuuliza vitu vingi zaidi whatsaaap
Nataka kujufunza zaidiSawa mkuu
Hapana hapa kuna pisi nyingi sana lakini zinanitambua kama bonge la bahili![]()
We dada uje PM uni dm namba yako ya whatsaap mimi kijana damu inachemka nimeandika hapa natambua wazi nitakua criticized so nataka kukuuliza vitu vingi zaidi whatsaaap
Dogo, inaelekea una genye la kufa mtu, and soon unaenda kufilisi duka.















genye la hatariiiiii mwanangu🍻Kwa huu uandishi wako ni Dhahiri kabisa kuwa bado u mchanga sana kiumri na kiakili
Sasa naomba nichukue tu fursa hii kukumbusha(labda umesahau au hujui) kuwa maandiko matakatifu yanakataza kabisa kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi baina ya ndugu lakini pia
Kisheria ni kosa la jinai kutoka kimapenzi na ndugu yako
Hivyo basi acha kufikiria mambo yasiyofaa kumwelekea huyo binamu yako,muoneshe msimamo thabiti muepeuke ili ujiepushie dhambi zisizo za lazima na majuto ya baadae ya kihisia.coz mambo mengi sana tunayoyafanya within the foolish age baade huwa yanatuumiza sana na kutupa maswali mengi ya kwa nini nilifanya vile au niliamua vile
All the best kijana.