wewe ndo yule unaewachukia wazazi wako kwa sababu ni wajinga??Baada ya kufwatilia Uongozi wa Baraka Obama tangu aingie Madarakani, nafikiri huyu Jamaa sio intelligent sana kama wengi wetu tunavyodhania.
Nasema hivi kwa maana anafanya mambo ambayo mtu au Raisi intelligent hawezi kuyafanya aidha atakuwa na wasaidizi ambao wanamdanganya kwa manufaa yao (kumtumia) na kama ni hivyo Basi atakuwa kilaza kwani alipaswa ajue anachoshauriwa.
Anaongea kuhusu kuiwekea Urusi vikwazo vya Kiuchumi wakati kila Mtaalamu wa maswala ya Uchumi wa Kidunia anajua kwamba hilo haliwezekani, wakati huo huo Makampuni makubwa ya Ulaya na Marekani yanasainiana Mikataba minono na Serikali ya Urusi, matokeo yake Putini anamcheka na jamaa kubaki kuonekana kituko tu.
Aliongelea kuhusu kuifunga Guantanamo mpaka leo hakuna kilichofanyika, alisema atarudisha majeshi ya Marekani ktk Iraki lkn hakuna kilichofanyika, Afganistani hivyo hivyo, kwa kifupi hajafanya hata kimoja alichosema/ alichoahidi kwamba angefanya... Mara 100 Joji Bushi alisema kwamba akiingia atamtoa [SIZE=3]Sadamu Huseni na kweli akafanya kama ilikuwa sawa ama si sawa lkn ali[SIZE=3]simam[SIZE=3]ia alichoaahidi!
[/SIZE]A[/SIZE]likwenda kwenye Msiba AK wa Mandela anapiga picha huku akikenua meno wakati ni sehemu ya huzuni, yaani utafikiri alikuwa kwenye Pati, hakuna raisi Intelligent anayeweza kufanya upuuzi kama huo...Ile picha iliwenda Dunia nzima na ilistaajabisha watu wengi sana...[/SIZE]
mkuu kwa umri wa miaka 95 ya late MADIBA ilikua ni unafki kwa birthday yake ya miaka 95 kumtakia longlife wakati kimwili na kiakili alikua amechoka sana.
Maana yangu kwa kipindi choote alichougua na kwa umri wake ule sidhani kama hata wanae na wajukuu walihuzunika sana.
Hakukua na umuhimu wa ku-act hudhuni wakati ilikua ni furaha kwa ULIMWENGU kuzizima na karibu mataifa yoote makubwa DUNIANI walikutana kwa MTU MWEUSI aliepata kuheshimika sana.
Nadhani OBAMA ni most intelligent than BUSH.
Nakumbuka hii, alimmaliza kitaalam!Unamsoma sana Donald Trump....
Wabongo bana..hayo yote aliyoyasema ameyatekeleza na pia kufufua uchumi sasa hivi un employment rate ni 5%
marekani imerudisha heshima na kuaminika duniani,
ameleta health policy nzuri nk..
Baada ya kufwatilia Uongozi wa Baraka Obama tangu aingie Madarakani, nafikiri huyu Jamaa sio intelligent sana kama wengi wetu tunavyodhania.
Nasema hivi kwa maana anafanya mambo ambayo mtu au Raisi intelligent hawezi kuyafanya aidha atakuwa na wasaidizi ambao wanamdanganya kwa manufaa yao (kumtumia) na kama ni hivyo Basi atakuwa kilaza kwani alipaswa ajue anachoshauriwa.
Anaongea kuhusu kuiwekea Urusi vikwazo vya Kiuchumi wakati kila Mtaalamu wa maswala ya Uchumi wa Kidunia anajua kwamba hilo haliwezekani, wakati huo huo Makampuni makubwa ya Ulaya na Marekani yanasainiana Mikataba minono na Serikali ya Urusi, matokeo yake Putini anamcheka na jamaa kubaki kuonekana kituko tu.
Aliongelea kuhusu kuifunga Guantanamo mpaka leo hakuna kilichofanyika, alisema atarudisha majeshi ya Marekani ktk Iraki lkn hakuna kilichofanyika, Afganistani hivyo hivyo, kwa kifupi hajafanya hata kimoja alichosema/ alichoahidi kwamba angefanya... Mara 100 Joji Bushi alisema kwamba akiingia atamtoa [SIZE=3]Sadamu Huseni na kweli akafanya kama ilikuwa sawa ama si sawa lkn ali[SIZE=3]simam[SIZE=3]ia alichoaahidi!
[/SIZE]A[/SIZE]likwenda kwenye Msiba AK wa Mandela anapiga picha huku akikenua meno wakati ni sehemu ya huzuni, yaani utafikiri alikuwa kwenye Pati, hakuna raisi Intelligent anayeweza kufanya upuuzi kama huo...Ile picha iliwenda Dunia nzima na ilistaajabisha watu wengi sana...[/SIZE]
Hivyo unataka kusemaje sasa?
wewe ndo yule unaewachukia wazazi wako kwa sababu ni wajinga??
naona laana imeshaanza kukuingia umeanza kuwehuka, wahi uwapigie magoti wazazi wako uwaombe msamaha kabla hujaanza kutembea uchi barabarani.
watu washazoea kujifanya wana hudhuni sana misibani kumbe usanii,bora kuwa really.mkuu kwa umri wa miaka 95 ya late MADIBA ilikua ni unafki kwa birthday yake ya miaka 95 kumtakia longlife wakati kimwili na kiakili alikua amechoka sana.
Maana yangu kwa kipindi choote alichougua na kwa umri wake ule sidhani kama hata wanae na wajukuu walihuzunika sana.
Hakukua na umuhimu wa ku-act hudhuni wakati ilikua ni furaha kwa ULIMWENGU kuzizima na karibu mataifa yoote makubwa DUNIANI walikutana kwa MTU MWEUSI aliepata kuheshimika sana.
Nadhani OBAMA ni most intelligent than BUSH.
Si ufuatitie mkuu..zipo kila mahali hozo statistics.. Nenda kwenye web ya newyork times utazipata.. Huko south na north dakota ni even 2 to 3% percent.. Mm nimeongea na watu walioanza kufaidika na obama care...Naomba chanzo cha hiyo unemployment rate, tafadhali.
Una uhakika?
Obamacare ina uzuri gani?
Si ufuatitie mkuu..zipo kila mahali hozo statistics.. Nenda kwenye web ya newyork times utazipata.. Huko south na north dakota ni even 2 to 3% percent.. Mm nimeongea na watu walioanza kufaidika na obama care...