Nahisi ananidanganya msaada jaman

Achana nae kaka ndo kawaida yao wakishaingia chuo hasa kilicho mbali nawe. Ilishamtokea rafiki yangu nae hivyo hivyo demu yuko nae toka O Level chuo wakasoma tofauti ndio mabalaa yakaanza, sasa ashaachia ngazi maana dem alikua hata aeleweki. Hapo atakua ashajiweka kwingine.
 
Bora umeamua kuachana naye!!! ukiona mpenzi hataki mawasiliano na wewe na mbaya anazima simu hasa usiku, jua ana mtu mwingine!!! Piga ua huo ndiyo ukweli wenyewe!!! Na mapenzi hayalazimishwi hata kidogo, ukiona hayapo sepa.
 
Datz true mkuu ngoja nifanye yangu

Ndo ivyo mkuu fanya yako kwa muda wote uliokuwa nae naiman kun meng mazur aliyaon kwako ndo maan akaamua kukaa na wew mda wote huo sasa iv itakua kpt mtu anayemdangany dangany ndo inampa kibur wew song mbele ipo siku tu...atakuja mwenyew
 
Kwel mkuu wasichana weng wakianza chuo wanajsahau na wanasahau fadhra zote
 
Ndo ivyo mkuu fanya yako kwa muda wote uliokuwa nae naiman kun meng mazur aliyaon kwako ndo maan akaamua kukaa na wew mda wote huo sasa iv itakua kpt mtu anayemdangany dangany ndo inampa kibur wew song mbele ipo siku tu...atakuja mwenyew

Haswaa mkuu especial mashost ni hatar
 
Bora umeamua kuachana naye!!! ukiona mpenzi hataki mawasiliano na wewe na mbaya anazima simu hasa usiku, jua ana mtu mwingine!!! Piga ua huo ndiyo ukweli wenyewe!!! Na mapenzi hayalazimishwi hata kidogo, ukiona hayapo sepa.

Unaona enhe wakat mwanzon alikuwa anapenda kuwasiliana na mm ucku
 
Hahahaa haaaa
Serious kaniboa kishenzi
Wengine tulipokuwa chuo tulikuwa hat huthubutu kuwa na mtu unamwaza mtu wako tu, halafu mtu mwenyewe anagonga ht hakujali
hahaha anagonga nini?
 
Usiku anazima simu! afu anachoka kuongea na wewe? Think outside the box brother.
 
huyo alisha kuzoea na kuku choka na alisha pata mwingine huko chuoni new brand...wasichana wengi wakifika chuo huwa wako hivyo wanachanganyikiwa na kusahau ya nyuma,jikaze achana naye utaona reacyion yake na ufanye uchunguzi mdogo tuuu utagundua kitu....
 
Sasa wewe ulikuwa unachaplikachaplika tuuuu wenzio weshalikunja toto hadi likatoa supu ya mifupani hapo litakumaindi tena si linakuona ha.ni..s tu
 
Sasa wewe ulikuwa unachaplikachaplika tuuuu wenzio weshalikunja toto hadi likatoa supu ya mifupani hapo litakumaindi tena si linakuona ha.ni..s tu

Ungejua hata uSINGE SEMA HVO MKUU KAMA NAPICHIKAPACHIKA 2 ASINGE FIKA MIAKA 5
 
Thanx mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…