Bei rahisi Electronicks
Senior Member
- Nov 24, 2025
- 167
- 392
Nipo kalibu na chuo cha serikali mkuuCheck open university
Police huyo,hadi la 7 wapo.Form six upo kazini diploma sijui degree ni machinga na bodaboda mitaani?
Hili nadhani kamuulize aliyekushika mkono akakuchomeka hapo ulipo yeye atakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kukushauri.
Iyo roho mbaya wewe upo hai hauna faida yeyote na magufuli kafariki Kila mtu na riziki yake.Form six upo kazini diploma sijui degree ni machinga na bodaboda mitaani?
Hili nadhani kamuulize aliyekushika mkono akakuchomeka hapo ulipo yeye atakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kukushauri.
Kila mtu na riziki yakePolice huyo,hadi la 7 wapo.
Unashida gani,kama huna kitu cha kuongea nyamazaNyie police mna matatizo sana
Mkuu wewe ushawai jaribuAcha ujumbe mkali kwa mwajiri wako alafu jinyonge
Safi mkuu nitafanyia kazi ushauri wakoUkichagua kusoma kwa siri, sharti uwe extra disciplined, hakikisha kazi zako kazini zinatekelezwa kwa kiwango cha juu, ukifanya kazi kwa ufanisi, hakuna bosi atakayekuwa na sababu ya kukuhoji, na hata wakikuhisi, watashindwa kukugusa kwa sababu haujawapa mwanya wa kukushika kwenye makosa ya utendaji.
Usijaribu kuwa na rarafiki yeyote wa karibu ofisini ambaye atafahamu kuhusu unachotaka kukifanya, ukimya ndiyo uwe ulinzi wako, soma, fanya mitihani, hitimu, na siku ukipata cheti chako ndipo utajua hatua gani inayofuata.
Kumbuka mfumo hautakujali kama utashindwa, kwa hiyo jali maisha yako kwanza focus on the goal usiwaze nambo ya ruhusa.
Sina jambo linalonisumbua, sina mwajiri, sihishi Zanzibar na shule zote nimemalizaMkuu wewe ushawai jaribu
Yote haya yanatoka wapi?Iyo roho mbaya wewe upo hai hauna faida yeyote na magufuli kafariki Kila mtu na riziki yake.
Na Mimi shangaa mjinga kama wewe unaishi duniani huna mchango wowote kwa familiar yako mpka Nchi lakini unadunda lakini Magufuli kafariki alikua nasaidia watu wengi, KWA NINI MUNGU HAJAKUCHUKUA MPUMBAVU WEWE KAMCHUKUA MAGUFULI 😡😡😡!.Yote haya yanatoka wapi?
Mimi nimeshangaa tu wewe kuwa ajirani na form six yako huku mtaani tunapishana na waliokuzidi elimu ila mdau amenifafanulia hapo juu ninyi polisi mpo mpaka la saba.
Shukranwanakuja watu wa ushauri
Ongera MkuuSina jambo linalonisumbua, sina mwajiri, sihishi Zanzibar na shule zote nimemaliza