Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,103
- 9,531
Anakiwasha? Tupe takwimu zake.Angebakizwa huyu Rally Bwalya mngemjua? Nani ambaye Kakudanganya kuwa Shiboub aliachwa na Simba SC kwa kushuka Kwake Kiwango? Msilolijua ni sawa na Usiku wa Giza.
Hivi angekuwa ni mbovu ( kashuka Kiwango ) Klabu hiyo Kubwa na Tajiri Kiasi ya nchini Algeria ingemsajili na angekuwa anakiwasha kama afanyavyo sasa?
Hakuna team inaacha mchezaji mzuri, ukiachwa jua ipo namna.
Simba ile Shiboub angecheza namba ya Nani?